Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
Kwani umesahau kuwa Uto ni kusanyiko la wapumbavu?Unajisikiaje KUANIKA UPUMBAFU WAKO Kwenye mitandao ya kijamii?????????
Kwa nini unazungumzia group stage na sio robo, nusu, fainali na ubingwa? Ili zionekane zinalingana lingana? Halafu kwa nini unachanganya Klabu Bingwa na mambo ya shirikisho? Zungumzia ligi kubwa hapa yaani Klabu Bingwa, hizo shirikisho ziachie Zalan na Asas1998 Yanga group stage CafCl
2003 Simba group stage CafCl
2016 Yanga group stage CafCC
2018 Yanga group stage CafCC
Misimu ya korona
2019 Simba group stage CafCl
2021 Simba group stage CafCl
2021/22 Simba group stage CafCC
2022/23 Yanga group stage CafCC
2022/23 Simba group stage CafCl
2023/24 Yanga group stage CafCl
2023/24 Simba group stage CafCl
Kumbe hawajaachana saaana
Hapa Yanga alifungwa magoli 19 katika mechi 6 tu1998 Yanga group stage CafCl