PreGE2025 Hesabu za kimedani zimemtupa nje Gwajima katika ramani ya urais, kuendelea kumjadili ni kupoteza muda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Infiltrator

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2017
Posts
211
Reaction score
339
đŸ•”đŸŸâ€â™‚ïž CONFIDENTIAL DOSSIER | OPERATION: SHADOW VOTE
“Politics is war without bloodshed, while war is politics with bloodshed” – Mao Zedong

📍 INTELLIGENCE BRIEFING
Kumekuwa na movement ya chini chini inayomweka “The Preacher General” kama the next big thing kwa kiti cha juu kabisa cha nchi.

Lakini kwa mujibu wa intel sources, hii ni classic case of psychological operations (PsyOps), propaganda ya kupima terrain siyo tactical reality.

📊 GROUND ANALYSIS
Yes, ana pulpit. Yes, ana followers. But “Faith-based following doesn’t translate to national votes” – anonymous analyst.

Katika dunia ya political arithmetic, the pews don’t always equal the polls. “You don’t win the presidency with hallelujahs, you win it with numbers” – veteran campaign strategist.

“Spies look at patterns, not prayers” – Jason Matthews (CIA Operative & Author)

📚 UNWRITTEN CODE
Tanzania, like many African nations, has a silent political rotation formula. The Catholics have had their moment, the Muslims prepare their turn.

It’s not officially documented, but it’s embedded deep within the statecraft DNA. Trying to bulldoze that sequence through evangelism alone is political suicide.

🧼 OPERATIONAL VERDICT
Gwajima’s potential win is more of a messianic myth than a measurable mission. Hii ni kama “Mission Impossible without Ethan Hunt” – political satirist.

Those daydreaming about State House through Sunday sermons need a reality check, preferably before breakfast.

🔚 “The most effective spy is the one who sees the future through the shadows of the present” – George Smiley (John le CarrĂ©)

🎯 Field Note
To those still in dreamland, wake up and smell the ballot.
 
Kwani Gwajima kasema wapi anataka urais?
 
Swali lako ni sahihi kwa macho ya kawaida, lakini dunia ya siasa haifanyi kazi kwa “amesema au hajasema.” Kuna tofauti kubwa kati ya kusema na kuzungumza.

Gwajima hasemi, lakini anazungumza kupitia ishara, mahubiri yenye tone la madaraka, namna anavyojiposition kwenye majukwaa ya kitaifa, na kauli zinazovuta hisia za “nchi ikiongozwa na mtu wa Mungu.”

Kama huoni alichokisema, angalia anachozungumza.
Kumbuka: hata kivuli hakiwezi kusema, lakini hutuambia mwelekeo wa mwangaza.
 
Umeandika mumbo jumbo nyingi based on ramli ambazo hazina fact.

Hujaweza hata kuonesha kauli ya Gwajima kwamba anataka kuwa rais.

Unapiga ramli tu.
 
Ni kweli Gwajima hajawahi kusema moja kwa moja kuwa anataka urais lakini amezungumza mara kadhaa kwa lugha ya mwelekeo.

Mfano wake wa kauli:

“Muda umefika watu wa Mungu wasiogope kushika nafasi za juu.” (Gwajima, 2022)

Hii si ramli. Ni lugha ya kisiasa isiyo ya moja kwa moja, ambayo hata viongozi kama Trump na Magufuli waliitumia kabla ya kutangaza nia.

Katika siasa, kimya kinaongea, na mwelekeo huzidi kauli.

Kwa hiyo, hoja si "amesema," hoja ni kwamba anafanya kila kitu kinachozungumza urais bila kutamka neno hilo moja kwa moja.

Watu wa Mungu ni kauli pana ambayo iko open to interpretation.

Inawezekana Gwajima anataka watu wanaoamini kama yeye washike nafasi za juu.

Bado ukisema anataka kuwa rais kwa sababu ya kauli hii unapiga ramli.

Ni sawa na mimi niseme wewe umetumwa kwa kazi maalum kuja hapa kumchafua Gwajima.
 
Gwajima akiutaka urais linakuwa kosa la jinai?
Kuutaka jambo jingine na kuupata jambo jingine.

Kwa hali ilivyo, labda chama kishuke kutoka mbinguni ndio atapata hata ubunge😀😀

Kwanza waislamu hatukapendi hako kajamaa....kanatuchukia na sisi pia hatukapendi.
 
đŸ•”đŸŸâ€â™‚ïž CONFIDENTIAL DOSSIER | OPERATION: SHADOW VOTE
“Politics is war without bloodshed, while war is politics with bloodshed” – Mao Zedong

📍 INTELLIGENCE BRIEFING
Kumekuwa na movement ya chini chini inayomweka “The Preacher General” kama the next big thing kwa kiti cha juu kabisa cha nchi.

Lakini kwa mujibu wa intel sources, hii ni classic case of psychological operations (PsyOps), propaganda ya kupima terrain siyo tactical reality.

📊 GROUND ANALYSIS
Yes, ana pulpit. Yes, ana followers. But “Faith-based following doesn’t translate to national vrotes” – anonymous analyst.

Katika dunia ya political arithmetic, the pews don’t always equal the polls. “You don’t win the presidency with hallelujahs, you win it with numbers” – veteran campaign strategist.

“Spies look at patterns, not prayers” – Jason Matthews (CIA Operative & Author)

📚 UNWRITTEN CODE
Tanzania, like many African nations, has a silent political rotation formula. The Catholics have had their moment, the Muslims prepare their turn.

It’s not officially documented, but it’s embedded deep within the statecraft DNA. Trying to bulldoze that sequence through evangelism alone is political suicide.

🧼 OPERATIONAL VERDICT
Gwajima’s potential win is more of a messianic myth than a measurable mission. Hii ni kama “Mission Impossible without Ethan Hunt” – political satirist.

Those daydreaming about State House through Sunday sermons need a reality check, preferably before breakfast.

🔚 “The most effective spy is the one who sees the future through the shadows of the present” – George Smiley (John le CarrĂ©)

🎯 Field Note
To those still in dreamland, wake up and smell the ballot.
Si kwa kupanic huko kambi ya Mizonga.

Ni lini Gwajima kasema anautaka urais?
Huo ubunge alifosiwa kugombea.

Kuanzia Mwinyi hadi Samia ni yupi kati yao aliupata urais bila kupitia wizara kadha wa kadha?
Gwajima hata unaibu Waziri hana anawezaje kuwa rais bila kupitia huko barazani?
Tanzania bila kuwa Mromani Catholic au Sunni kuupata urais haiwezekani, na ndicho kilimwangusha mzee Edo, Gwajima ni Mpentecoste na analijua hilo hawezi kukubaliwa na......
 
Childish analysis

Hoja ya Gwajima ni very simple anataka kuona ‘civil services’ iliyo imara hasa kwenye security apparatus.

Sio kuendeshwa na agenda za wanasiasa, yaani ‘raisi’ akiona civil servants awakubaliani na direction yake ‘hata kwa maamuzi yake’ ambayo hayana maslahi ya taifa.

Akiona hao wasiotaka kukubaliana na maamuzi yake ni tatizo, raisi anatumia mamlaka yake ya kikatiba kuwafukuza. Anafanya hivyo mpaka waje ambao wapo tayari kukubaliana nae.

Mfano kama unafahamu maswala ya ‘Carbon trading’ ni kipi special ambacho ‘TFS’ wasingeweza fanya; hadi usimamizi wa misitu tuwape waarabu.

Si kila mwaka tunaudhuria COP meetings ina maana sisi wenyewe hatuwezi tengeneza sera za ‘Paris Agreement’ kwa kutumia misitu yetu mpaka tumpe mwarabu hiyo tender.

Gwajima kaongea mengi, kumuelewa kwa kina inataka akili kubwa kwa watanzania ngumu (kwengine duniani alikuwa very clear objectively).

Alichokuwa ana advocate Gwajima it has nothing to do na kuutaka uraisi au kupinga uraisi wa Samia. Isipokuwa stability ya civil services kwenye kazi yao kwenda mbele.

Sasa Tanzania ukishajitoa muhanga kama Gwajima kila mtu anataka kukutumia hiyo fursa to further their own political agenda, tofauti na msimamo wake.
 
Childish analysis

Hoja ya Gwajima ni very simple anataka kuona ‘civil services’ imara hasa kwenye security apparatus.

Sio kuendeshwa na agenda za wanasiasa, yaani ‘raisi’ akiona civil servants awakubaliani na direction yake ‘hata kwa maamuzi yake’ ambayo hayana maslahi ya taifa.

Hao wasiotaka kukubaliana na maamuzi yake ni tatizo, raisi anatumia mamlaka yake ya kikatiba kuwafukuza. Anafanya hivyo mpaka waje ambao wapo tayari kukubaliana nae.

Mfano kama Unafahamu maswala ya ‘Carbon trading’ ni kipi special ambacho ‘TFS’ wasingeweza fanya; hadi usimamizi wa misitu tuwape waarabu.

Si kila mwaka tunaudhuria COP meetings ina maana sisi wenyewe hatuwezi tengeneza sera za ‘Paris Agreement’ kwa kutumia misitu yetu mpaka tumpe mwarabu hiyo tender.

Gwajima kaongea mengi, kumuelewa kwa kina inataka akili kubwa kwa watanzania (kwengine duniani alikuwa very clear objectively).

Alichokuwa ana advocate Gwajima it has nothing to do na kuutaka uraisi au kupinga uraisi wa Samia. Isipokuwa stability ya civil services kwenye kazi yao.

Sasa Tanzania ukishajitoa muhanga kama Gwajima kila mtu anataka kukutumia to further their own agenda, tofauti na msimamo wake.
Makanjanja wengi .......Mwaka huu tutaona na kusikia mengi
 
Si kwa kupanic huko kambi ya Mizonga.

Ni lini Gwajima kasema anautaka urais?

Kuanzia Mwinyi hadi Samia ni yupi kati yao aliupata urais bila kupitia wizara kadha wa kadha?
Gwajima hata unaibu Waziri hana anawezaje kuwa rais bila kupitia huko barazani?
Tanzania bila kuwa Mromani Catholic au Sunni kuupata urais haiwezekani, na ndicho kilimwangusha mzee Edo, Gwajima ni Mpentecoste na analijua hilo hawezi kukubaliwa na......
Mkuu kwani Nyerere alipitia uwaziri gani kabla ya kuwa waziri Mkuu na hatimaye Rais.
 
Childish analysis

Hoja ya Gwajima ni very simple anataka kuona ‘civil services’ imara hasa kwenye security apparatus.

Sio kuendeshwa na agenda za wanasiasa, yaani ‘raisi’ akiona civil servants awakubaliani na direction yake ‘hata kwa maamuzi yake’ ambayo hayana maslahi ya taifa.

Hao wasiotaka kukubaliana na maamuzi yake ni tatizo, raisi anatumia mamlaka yake ya kikatiba kuwafukuza. Anafanya hivyo mpaka waje ambao wapo tayari kukubaliana nae.

Mfano kama Unafahamu maswala ya ‘Carbon trading’ ni kipi special ambacho ‘TFS’ wasingeweza fanya; hadi usimamizi wa misitu tuwape waarabu.

Si kila mwaka tunaudhuria COP meetings ina maana sisi wenyewe hatuwezi tengeneza sera za ‘Paris Agreement’ kwa kutumia misitu yetu mpaka tumpe mwarabu hiyo tender.

Gwajima kaongea mengi, kumuelewa kwa kina inataka akili kubwa kwa watanzania (kwengine duniani alikuwa very clear objectively).

Alichokuwa ana advocate Gwajima it has nothing to do na kuutaka uraisi au kupinga uraisi wa Samia. Isipokuwa stability ya civil services kwenye kazi yao.

Sasa Tanzania ukishajitoa muhanga kama Gwajima kila mtu anataka kukutumia to further their own agenda, tofauti na msimamo wake.
1. "Gwajima hajazungumza urais, anazungumza civil service tu," hoja dhaifu kuliko zote tangu mwaka uanze.

Ni kweli Gwajima amekuwa akihoji utendaji wa civil servants. Lakini hiyo haimaanishi hana agenda ya kisiasa ya juu zaidi.

Katika siasa, critique ya mfumo wa utawala huambatana na kutafuta legitimacy ya kuubadilisha.

Mfano:

Donald Trump kabla ya kugombea urais alihoji "deep state" na "swamp" ya Washington.

Julius Malema alihoji civil service ya ANC kabla ya kuanzisha EFF.

Mwelekeo uko wazi:
Criticism ya mfumo = groundwork ya kuanzisha mfumo mpya kwa njia ya madaraka.
Civil service critique is rarely apolitical.

2. "Gwajima ni objective sana, ila watu hawamwelewi," Hoja ya kishabiki kwa kisingizio cha kufikiri kwa kina

Kusema kwamba "Gwajima anaeleweka na wenye akili kubwa tu" ni elitist fallacy.
Kiongozi mzito hujulikana kwa uwezo wa kuwasilisha hoja kwa umma wote, si kwa kundi la “wenye akili za juu.”

"If you can't explain it simply, you don't understand it well enough.” – Albert Einstein

Kama Gwajima kweli ana hoja nzito, basi iweze kueleweka hata na mtu wa kawaida wa Kariakoo, siyo ihitaji IQ ya 180 kuielewa.

3. "Carbon trading na TFS, Samia kawapa Waarabu" – propaganda ya kale

Mkataba wa misitu unaohusishwa na UAE haumaanishi “kuwapa Waarabu misitu.”
Ni sehemu ya mikataba ya carbon offsetting, ambayo nchi zote hata zilizoendelea wanaingia kwa mutual environmental credits.

Mfano:

Kenya, Ghana na Indonesia wameingia mikataba kama hiyo kwa miaka kadhaa.

Brazil inafanya carbon swaps na EU, tena kwa masharti magumu zaidi.

Swali la Msingi.
Je, Tanzania ilikuwa na mfumo wa kitaalamu wa kuendesha carbon markets kwa transparency?
Kama jibu ni hapana (ambalo TFS haijawahi kulithibitisha), basi kuingia kwenye partnership ya kimataifa si usaliti, ni strategic decision.

Kwa hiyo hoja ya “kwanini tumpe mwarabu” ni ya kihisia, si ya kiuchumi wala kimazingira.

4. "Gwajima hapingi urais wa Samia," lakini matamshi yake yana double meaning

Ukweli ni kwamba, katika siasa, kutozungumza moja kwa moja hakumaanishi kutokuwa na agenda.

"Watu wanaingia kwa mlango wa mabeberu, wanatumika dhidi ya watu wa Mungu." Asema Gwajiboy

Ni moja ya kauli zenye tabia ya delegitimize uongozi wa sasa kwa njia ya kiroho, a classic populist tactic.

Wanasiasa wa aina ya Bolsonaro, OrbĂĄn na Trump wamekuwa wakitumia "moral supremacy" kuony
esha kuwa walioko madarakani hawana legitimacy ya kweli.

Kwa hiyo, kama hapingi urais wa Samia, kwa nini hutumia lugha ya kishetani au kiroho kuishushia hadhi serikali?

Unapoweka serikali upande wa "giza," unajiweka upande wa "nuru," nayo ni kujiposition kama mbadala.

5. "Watu wanamtumia Gwajima kwa agenda zao," victim complex ya kisiasa

Kama kweli hana ajenda ya kisiasa kwa nini ajihusishe na kila mjadala wa kitaifa kwa lugha inayochochea mgawanyiko?

Leadership is not about avoiding being used, it’s about knowing the weight of your words.
Kiongozi anayelalamika kila mara “natumiwa” si kiongozi, ni soft target.

Rafiki yangu usilazimishe kuelewa mambo kwa mtazamo wa "Gwajima ni victim" na "ana akili kuliko Watanzania wengine."

Ukweli ni kwamba, Gwajima ni political actor, si mtazamaji.

Ana mwelekeo wa kuji-position juu ya mfumo kwa lugha ya kiroho na “deliverance.”

Hoja zake zimejaa signal za kutafuta legitimacy ya kisiasa, iwe ni kwa urais au leverage kubwa ya kimamlaka.

Kwa hiyo anayeshindwa kuona hilo, aidha anaona kwa macho ya imani, au amekataa kutumia lensi za political analysis.
 
Back
Top Bottom