Hesabu za kiwanda cha bia (Tanzania Brewries Limited) ziko salama kiasi gani? Mbona wanasema ETI kampuni inaelekea kufa?

Hesabu za kiwanda cha bia (Tanzania Brewries Limited) ziko salama kiasi gani? Mbona wanasema ETI kampuni inaelekea kufa?

Kama umenunua hisa zao, wasaidie kufanya promosheni, au utimie na wewe kuongeza pato lao.

Ukitutegemea sisi pekee ndio tunywe beer zao, unaweza pata hasara huko DSE.
 
Kuna tetesi kwamba kampuni hii "inapumulia" Machine, hesabu zake haziko vizuri tangu aondoke mkaburu. Ukweli umekaaje mlio ndani/jikoni?
labda wameamua iwe depot hapa Tz badala ya kuwa na kiwanda
 
inawezekana maana bia za kilimanjaro, safari na castle lite zimekuwa adimu sana mbaya zaidi castle lite bei imepanda maradufu.
 
Kuna tetesi kwamba kampuni hii "inapumulia" Machine, hesabu zake haziko vizuri tangu aondoke mkaburu. Ukweli umekaaje mlio ndani/jikoni?
Sasa bila mzungu kuna nini Mwafrika anaweza,😄? Ilikuwa hivyo kabla ya mkaburu na itakuwa hivyo baada ya mkaburu
 
Kuna tetesi kwamba kampuni hii "inapumulia" Machine, hesabu zake haziko vizuri tangu aondoke mkaburu. Ukweli umekaaje mlio ndani/jikoni?
Breweries ndiyo walikuwa wakiongoza kwa mapato miaka ya 'zamani' kabla makampuni ya simu za mkononi hayajaanza wakifuatiwa na TCC then akaja Mkaburu na hapo kwa kuwa nilishakuwa ukimbizini I can't tell what really transpired lakini itakuwa ni kitu cha kushangaza Kaburu aondoke na kiwanda kielekee kufa.
Kabla Kaburu hajaingia upigaji ulikuwepo na watu walikuwa wanalewa ndani ya kiwanda lakini bado kilikuwa namba moja kwa mapato the whole country, sasa kama kuna ubadhilifu unafanyika mpaka kuimaliza Tanzania Breweries basi hapo kutakuwa na kamchezo mtu auziwe kwa bei ya mchekea na signatories wale percentages za nguvu.
 
TBL ni kama imeanza kutetereka miaka miwili au mitatu iliyopita. Hisa zake hazipandi sokoni, bidhaa zake pendwa zina uhaba maeneo mengi mikoani, mawakala "distributors" wengi wamesimama, matangazo na promo za bidhaa zake yamepungua.
 
Back
Top Bottom