Hesabu za kiwanda cha bia (Tanzania Brewries Limited) ziko salama kiasi gani? Mbona wanasema ETI kampuni inaelekea kufa?

Hesabu za kiwanda cha bia (Tanzania Brewries Limited) ziko salama kiasi gani? Mbona wanasema ETI kampuni inaelekea kufa?

kiwanda unampa muhindi unatarajia nn kama sio kukiua kabisa
 
Kuna tetesi kwamba kampuni hii "inapumulia" Machine, hesabu zake haziko vizuri tangu aondoke mkaburu. Ukweli umekaaje mlio ndani/jikoni?
Lengo la wamarekani walonunua hiki kiwanda ni kuua uchumi wetu maana serikali ilikuwa inapata maokoto, walipoingia wakapunguza wafanyakazi kibao na sasa hata production sii nzuri
 
Mbona walevi wengi sana huko mitaani ??
 
Na nasikia kulikua na madai ya malimbikizo ya hela za wafanyakazi full kuwapiga dana dana katika malipo yao
 
Back
Top Bottom