blance86 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2016 Posts 2,138 Reaction score 5,632 Jan 20, 2025 #21 kiwanda unampa muhindi unatarajia nn kama sio kukiua kabisa
B brownjosephati JF-Expert Member Joined Jun 7, 2024 Posts 549 Reaction score 674 Jan 20, 2025 #22 chiembe said: Kuna tetesi kwamba kampuni hii "inapumulia" Machine, hesabu zake haziko vizuri tangu aondoke mkaburu. Ukweli umekaaje mlio ndani/jikoni? Click to expand... Lengo la wamarekani walonunua hiki kiwanda ni kuua uchumi wetu maana serikali ilikuwa inapata maokoto, walipoingia wakapunguza wafanyakazi kibao na sasa hata production sii nzuri
chiembe said: Kuna tetesi kwamba kampuni hii "inapumulia" Machine, hesabu zake haziko vizuri tangu aondoke mkaburu. Ukweli umekaaje mlio ndani/jikoni? Click to expand... Lengo la wamarekani walonunua hiki kiwanda ni kuua uchumi wetu maana serikali ilikuwa inapata maokoto, walipoingia wakapunguza wafanyakazi kibao na sasa hata production sii nzuri
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Jan 20, 2025 #23 Mbona walevi wengi sana huko mitaani ??
njumu za kosovo JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 3,820 Reaction score 9,625 Jan 21, 2025 #24 Na nasikia kulikua na madai ya malimbikizo ya hela za wafanyakazi full kuwapiga dana dana katika malipo yao
Na nasikia kulikua na madai ya malimbikizo ya hela za wafanyakazi full kuwapiga dana dana katika malipo yao