Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawakati kwenye 4,098.37/=, hiyo 4,098.37/= ndiyo hela yako inayobaki baada kukata kodi (VAT, EWURA, REA) kutoka kwenye elfu 5 yako, kwa hiyo umeme utakaopewa ni wa 4,098.37/= na si wa elfu 5 kamili.wewe ndo huelewi kumbe, iko ivi ukinunua vocha ya 5000 kodi(%) itakatwa kwenye hiyo elfu tano.
ila ukinunua umeme wa 5000 ni tofauti kodi inakatwa kwenye 4098.37 na hao wengine EWURA na REA asilimia zao watakata kwenye 4098.37 sasa swali la msingi 901.63 imeenda wapi maana jumpa ya malipo ni 5000.
Kwa mawazo na mtazamo kama huu, kutoboa katika kutafuta haki ni ngumu sana. Ukiwa unatafuta haki usijali gharama ndugu.Unatumia bundle la 1000 kuhoji 900
UpdatesHabari Wadau! Hapo chini ni kipande cha maelezo ya umeme nilionunua kwenye simu.
Nimejaribu kupiga hesabu hizo asilimia hapo chini za VAT, REA na EWURA zote zinaonekana zimepigiwa hesabu kutoka kwenye shilingi 4098. Kwa gharama ya shilingi 5000, unaweza ona karibu shilingi 902 haipo hapo.
Sasa naomba mwenye kuelewa hizi hesabu zinapigwa vipi anisaidie. Yaani mchakato mzima hapo. Ahsante.
14.0KWH
0592 7638 3409 4517 9226
Cost 4,098.37
VAT 18% 737.70
EWURA 1% 40.98
REA 3% 122.95
TOTAL 5,000.00
Ni kwamba kila utakaponunua umeme mfano wa elfu 5 (Tsh. 5,000/=) kuna asilimia inakatwa kwa ajili ya kodi (18.0326% ya pesa taslimu uliyoitoa)wewe ndo huelewi kumbe, iko ivi ukinunua vocha ya 5000 kodi(%) itakatwa kwenye hiyo elfu tano.
ila ukinunua umeme wa 5000 ni tofauti kodi inakatwa kwenye 4098.37 na hao wengine EWURA na REA asilimia zao watakata kwenye 4098.37 sasa swali la msingi 901.63 imeenda wapi maana jumpa ya malipo ni 5000.
Jamaa amekueleza ukweli halafu we umebisha dahwewe ndo huelewi kumbe, iko ivi ukinunua vocha ya 5000 kodi(%) itakatwa kwenye hiyo elfu tano.
ila ukinunua umeme wa 5000 ni tofauti kodi inakatwa kwenye 4098.37 na hao wengine EWURA na REA asilimia zao watakata kwenye 4098.37 sasa swali la msingi 901.63 imeenda wapi maana jumpa ya malipo ni 5000.
wewe ndo huelewi kumbe, iko ivi ukinunua vocha ya 5000 kodi(%) itakatwa kwenye hiyo elfu tano.
ila ukinunua umeme wa 5000 ni tofauti kodi inakatwa kwenye 4098.37 na hao wengine EWURA na REA asilimia zao watakata kwenye 4098.37 sasa swali la msingi 901.63 imeenda wapi maana jumpa ya malipo ni 5000.
shida sio kujumlisha shida ni kwamba kodi ambayo ni 18.0326%,Jamaa amekueleza ukweli halafu we umebisha dah
Alichokuambia ndicho kilivyo
Gharama ya umeme wa unit 14 ndio hiyo 4098
Hiyo 902 no gharama za REA EWERA na VAT
fanya ujumrishe utaona
Hao wanaopinga hoja ya mtoa mada mila maelezo ndiyo wale wale wanajuwa issue ya baltazari na Simba na Yanga tu.Hoja ikiwekwa mezani inatakiwa ipanguliwe kwa hoja, wewe unaleta mambo mengine kabisa! Kwani iyo hela aliyonunulia umeme ulimpa wewe?
Halafu hela inaanzia shilingi ngapi? hivi hujiulizi iyo 901.63 ambayo haionekani hapo mleta mada anataka ufafanuzi ilikoenda wewe unaona ni upuuzi, vipi wakinunua umeme wa elfu tano watu laki moja ukizidisha 901.63 × 100,000 = 90,163,000 bado sio hela?
Angalia hapo juu unaweza badili hoja yako.Ni kwamba kila utakaponunua umeme mfano wa elfu 5 (Tsh. 5,000/=) kuna asilimia inakatwa kwa ajili ya kodi (18.0326% ya pesa taslimu uliyoitoa)
Cha kwanza Kodi (VAT, EWURA, REA) inakatwa kwenye hiyo elfu 5, hiyo kodi ni asilimia 18.0326 (18.0326%) ya hela uliyoitoa ambayo ni 5,000/=
(18.0326%x5000) = 901.63 hii ndiyo kodi ambayo hujumuisha VAT, EWURA, REA.
Kwa hiyo kwenye elfu 5 yako inabaki 4,098.37/= ambayo ndiyo utanunulia umeme.
Hilo wala sio swala la kujadili,Hawakati kwenye 4,098.37/=, hiyo 4,098.37/= ndiyo hela yako inayobaki baada kukata kodi (VAT, EWURA, REA) kutoka kwenye elfu 5 yako, kwa hiyo umeme utakaopewa ni wa 4,098.37/= na si wa elfu 5 kamili.
Habari Wadau! Hapo chini ni kipande cha maelezo ya umeme nilionunua kwenye simu.
Nimejaribu kupiga hesabu hizo asilimia hapo chini za VAT, REA na EWURA zote zinaonekana zimepigiwa hesabu kutoka kwenye shilingi 4098. Kwa gharama ya shilingi 5000, unaweza ona karibu shilingi 902 haipo hapo.
Sasa naomba mwenye kuelewa hizi hesabu zinapigwa vipi anisaidie. Yaani mchakato mzima hapo. Ahsante.
14.0KWH
0592 7638 3409 4517 9226
Cost 4,098.37
VAT 18% 737.70
EWURA 1% 40.98
REA 3% 122.95
TOTAL 5,000.00
Updates:
Mbona hapo Hesabu zpo sawa yaan
Umepewa umeme wa 4098.37 (293/ Unit)
VAT 737.70
EWURA 40.98
REA. 122.95
JUMLA N 5,000.00
shida sio kujumlisha shida ni kwamba kodi ambayo ni 18.0326%,expand...
We n GIFTED FOOL...Kama tunaanza na kupiga hesabu za LUKU
Tutafute hela aisee