Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,818
- 8,451
Ushauri wako n nn?Madhara ya punyeto ni mengi sana, kumbuka mtu aliyezoea kujichua maana yake anamiliki wanawake wengi wa kufikirika, hivyo unapofikia wakati wa kuwa na mke halisi fikra hutatanika kwa kukumbuka wapenzi wale wa kufikrika aliofanya nao ngono kwa njia ya kujichua. Na kwa kuwa mke halisi ni mmoja na wale wa kufikrika ni wengi, akili hushindwa kutambua upande upi ni bora kwake, hivyo uume kushindwa kusimama vyema kwa sababu ya mwathiriko wa kisaikolojia.