Hawa saidia fundi wa kulipwa 7000 kwa siku mnawapata nchi gani?Kusaidia fundi kwa siku ni 7,000/=
Kwa wiki ni 7,000×7= 49,000/=
Kwa mwezi ni 49,000×30 = 1,470,000/=
Kwa Mwaka ni 1,470,000×12 = 17,640,000/=
Toyota IST used bei yake ni 6,000,000/=
Swali ni je, mbona huna gari?
----------------------------------------------
Kauli za watu walioshiba makande na kwenda vijiwe vya kahawa! Kutazama maisha ni kama mepesi kwa hesabu za MAGAZIJUTO.
View attachment 3293352
Waje na gari wapi, wkt kesho yake anaomba 1000 ya supudaaah,.. hao saidia fundi wako wapo vizuri sana mkuu Fundi mahiri wa ujenzi kwa hesabu za mtoa uzi, kila mmoja si anatakiwa kuja kazini na gari lake....😀😀😀
kwa siku 20,000
kwa wiki 20,000 x7 = 140,000
kwa mwezi 140,000 x 30 = 4,200,000
kwa mwaka 4,200,000 x 12 = 50,400,000
😀😀😀😀😀
Halafu hapo wanawaza kupakia Lori zima kupeleka sehemu nyingine, maana wameshusha matofali kwenye wrong addressKusaidia fundi kwa siku ni 7,000/=
Kwa wiki ni 7,000×7= 49,000/=
Kwa mwezi ni 49,000×30 = 1,470,000/=
Kwa Mwaka ni 1,470,000×12 = 17,640,000/=
Toyota IST used bei yake ni 6,000,000/=
Swali ni je, mbona huna gari?
----------------------------------------------
Kauli za watu walioshiba makande na kwenda vijiwe vya kahawa! Kutazama maisha ni kama mepesi kwa hesabu za MAGAZIJUTO.
View attachment 3293352
😂😂Muulize Robert Heriel Mtibeli kilichomkuta yeye ni shahidi mzuri wa hili
Dunia simama...Huo mwezi wenye majuma 30 unapatikana sayari gani?
Mkuu...Huyu jamaa anafaa kuchinjwa sikukuu 😁
Hata hivyo hiyo concept inaweza kutumika kwa Robot pekee. Kwa binadamu kuna barriers nyingi sana. Kwanza binadamu huwezi kufanya kazi week/ Mwezi mzima bila kupumzika. Pili, kazi ya saidia fundi au kibarua ni bahati kuna siku huchaguliwi. Tatu, kuna kuugua.Eti Kwa wiki 7,000×7=49,000 alafu kwa mwezi 49,000×30( kwahiyo mwezi una wiki 30?)
Ungerahisisha kuchukua 7,000×365=2,555,000
Hela ambayo hata bodaboda hununui
Muache haraka sanaUshauri wako n nn?
Legend ndioUtakuwa na uzoefu kwenye eneo hilo!