Hesabu za MAGAZIJUTO kwenye maisha (Parody)

Ushauri wako n nn?
 
Kwa siku 7000 analipwa, anapataje 1.47 M kwa mwezi? Hesabu ulifeli kama mm?
 
Mtu akishashiba Makande anaongea lolote analojisikiaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mkuu,

Siku 1: 7,000/=

Kwa wiki (sawa na siku 7): 7x7,000=49,000/=

Kwa mwezi (sawa na wiki 4): 49,000x4=196,000/=

Kwa mwaka (sawa na miezi 12): 196,00x12=2,352,000/=
Embu fanya na hii hapa chini uweke jibuπŸ‘Ž

36x36x36x36x36=?

4x4x4x4x4x4=?
 
Hesabu zako mbovu. Kama unalipwa 49,000 kwa wiki, kwa mwezi inatakiwa kuwa 49,000x4, sio 49,000x30.
 
We umechanganyikiwnini, mwezi upi una wiki 30? Acha huo urojo bwanamdogo.
 
Mbali ya kupuyanga hesabu, elewa kuwa hakuna kibarua au fundi mwenye uwezo wa kufanya kazi kila siku na bila kuwa na siku ya kuoumzika. Hata mashine ingekufa mapema
 
Hawa saidia fundi wa kulipwa 7000 kwa siku mnawapata nchi gani?

Kampuni yangu inalipa 15000 - 20000 per day.

Kumlipa mtu 7000 ni unyonyaji ulio wa kiwango cha juu
 
Hesabu zako ni za kipuuzi. 7000*7*4= ndiyo mwezi. au 7000*30= haifiki laki 3. Acha ndoto
 
Umevuta bangi isiyokauka vizuri
 
Hizi ndio zile hesabu watu hupigiwa kwamba ukiwa na kuku mitetea 10 na jogoo mmoja baada ya mwaka moja utakuwa na kuku 10,000 alafu watu wanaingia box.... πŸ˜€ πŸ˜€
 
Utakuwa na uzoefu kwenye eneo hilo!
 
Huwa nacheka sana watu waliosoma historia wanavyohangaika na hesabu hata ya kutoa na kujumlisha! Hili andazi nimeshindwa hata hii hesabu ndogo tu!
 
Hawa saidia fundi wa kulipwa 7000 kwa siku mnawapata nchi gani?

Kampuni yangu inalipa 15000 - 20000 per day.

Kumlipa mtu 7000 ni unyonyaji ulio wa kiwango cha juu
daaah,.. hao saidia fundi wako wapo vizuri sana mkuu Fundi mahiri wa ujenzi kwa hesabu za mtoa uzi, kila mmoja si anatakiwa kuja kazini na gari lake....πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

kwa siku 20,000
kwa wiki 20,000 x7 = 140,000
kwa mwezi 140,000 x 30 = 4,200,000
kwa mwaka 4,200,000 x 12 = 50,400,000

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…