OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Hakuna jambo gumu kama kuendesha timu ya mpira na kuifanya ikupe mafanikio ya haraka,
Unaweza kuwa na pesa yakutosha ila ukajikuta unaambulia patupu.
Pesa peke yake hazitoshi bali akili nyingi pia inahitajika bila kuvunja sheria.
Nimeanzisha huu uzi baada ya comment ya mdau mmoja kwenye uzi fulani.
Ipo hivi,
Alisajili wachezaji 30 singida FG, usajili huwa ni pata potea,
Katika hao wachezaji 30 ni wachezaji nane tu ndio waliotiki wanaojua mpira haswa na kukiwasha ipasavyo wengine wote wakaonekana magarasa, wote 30 wanalipwa pesa ndefu, ukivunja mkataba utawalipa zaidi.
Jamaa akainunua Ihefu kwa bei chee iliyokuwa inataka kushuka daraja ambapo hakuna mtu mwenye akili timamu angeinunua. Kisha wale wachezaji nane akawatoa kwa mkopo kutoka SFG kwenda IHEFU,
magarasa wote akawaacha SFG.
IIi baadae timu iuzwe kisha hao magarasa hata wakienda kushtaki FIFA hawampati, itafungiwa SFG na sio IHEFU, na mmiliki wa ihefu ni MKULIMA WA MPUNGA. Hapo FIFA wataifungia SFG na sio IHEFU.
Kisha msimu unaofuata wa 2024/2025 ataongezea wachezaji wazuri kadhaa na kisha moto utawaka haswaa.
atapata mafanikio makubwa ndani ya muda mfupi kwa sababu anajifunza, na ameishajua namna ya kujijenga.
Hata kocha aliyepo Ihefu ni kocha mzuri, na hio ndio sababu wengi mnaona IHEFU inacheza bora zaidi.
.........................................
UPDATES
Kocha uchebe atua SBS
Pia

Mmiliki wa SFG ni mjanja sana sema watu wengi huwa hawafuatilii soka nje ya simba na YangaDuke Abuye
Marouf Tchakei
Elvis Rupia....Harambee stars
Benjamin Tamim ..Super Eagle
Amadou Amande....The Mambaz
Maurice Chuku ....Nigeria
Josh Onyango....Kenya
Mohamed Khomen...Mali
Kifupi Ihefu wako na timu
Hivi Simba inazidiwaje na timu ndogo kutafuta wachezaji?
Ipo hivi,
Alisajili wachezaji 30 singida FG, usajili huwa ni pata potea,
Katika hao wachezaji 30 ni wachezaji nane tu ndio waliotiki wanaojua mpira haswa na kukiwasha ipasavyo wengine wote wakaonekana magarasa, wote 30 wanalipwa pesa ndefu, ukivunja mkataba utawalipa zaidi.
Jamaa akainunua Ihefu kwa bei chee iliyokuwa inataka kushuka daraja ambapo hakuna mtu mwenye akili timamu angeinunua. Kisha wale wachezaji nane akawatoa kwa mkopo kutoka SFG kwenda IHEFU,
magarasa wote akawaacha SFG.
IIi baadae timu iuzwe kisha hao magarasa hata wakienda kushtaki FIFA hawampati, itafungiwa SFG na sio IHEFU, na mmiliki wa ihefu ni MKULIMA WA MPUNGA. Hapo FIFA wataifungia SFG na sio IHEFU.
Kisha msimu unaofuata wa 2024/2025 ataongezea wachezaji wazuri kadhaa na kisha moto utawaka haswaa.
atapata mafanikio makubwa ndani ya muda mfupi kwa sababu anajifunza, na ameishajua namna ya kujijenga.
Hata kocha aliyepo Ihefu ni kocha mzuri, na hio ndio sababu wengi mnaona IHEFU inacheza bora zaidi.
.........................................
UPDATES
Kocha uchebe atua SBS
Pia
Wadau wa Soka
Napenda kuwataarifu kuwa nimekabidhiwa jukumu zito la kuwa Msemaji wa Klabu ya Singida Black Stars yenye maono makubwa na kuongoza Idara nyeti ya Habari na Mawasiliano.
Nami nipo tayari kuisemea na kuitetea kwa weledi na maarifa yangu yote.. Eeh Mwenyeezi Mungu nisaidie 🙏🏾
View attachment 3014262