BLACK MOVEMENT JF-Expert Member Joined Mar 11, 2020 Posts 4,548 Reaction score 11,901 Oct 5, 2024 #41 Greatest Of All Time said: Kwahyo Madelu siku hizi analima mpunga BoT? Click to expand... Yes ana shamba la Mpunga pale BOT anawapiga wajinga wa hili Taifa. anasoma sana vitabu. Wajinga wape chakula wale washibe then watafutie burudani kwisha habari
Greatest Of All Time said: Kwahyo Madelu siku hizi analima mpunga BoT? Click to expand... Yes ana shamba la Mpunga pale BOT anawapiga wajinga wa hili Taifa. anasoma sana vitabu. Wajinga wape chakula wale washibe then watafutie burudani kwisha habari
Mawembasa1979 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2015 Posts 2,540 Reaction score 3,333 Oct 5, 2024 #42 Tresor Mandala said: Hahahahaha...kwanza nimekuelewa vzr mno ktik kunielimisha hii ..pili nimekubali jamaa alitumia ujanja sana ktk hilo...ahsante sana mkuu kwa hii info Click to expand... Eng. Hersi atakuwa alimpa Desa hilo.
Tresor Mandala said: Hahahahaha...kwanza nimekuelewa vzr mno ktik kunielimisha hii ..pili nimekubali jamaa alitumia ujanja sana ktk hilo...ahsante sana mkuu kwa hii info Click to expand... Eng. Hersi atakuwa alimpa Desa hilo.
OMOYOGWANE JF-Expert Member Joined Dec 30, 2016 Posts 4,701 Reaction score 11,920 Oct 5, 2024 Thread starter #43 Mawembasa1979 said: Eng. Hersi atakuwa alimpa Desa hilo. Click to expand... Na jamaa ameiva kweli kweli na ananguvu kwenye soka japokuwa yupo undercover Rejea ishu ya kagoma Pia ushauri aliompa feitoto
Mawembasa1979 said: Eng. Hersi atakuwa alimpa Desa hilo. Click to expand... Na jamaa ameiva kweli kweli na ananguvu kwenye soka japokuwa yupo undercover Rejea ishu ya kagoma Pia ushauri aliompa feitoto