Kama waliopiga kura wapo, hawafiki watu Millioni moja. (1 Mil) Huu ni upikaji wa data wa kijinga sana ambao haujapata kutokea, wizi, vitisho na mauaji ya kutisha. Hadi lini tutakubali kuuawa? Tutafute silaha, na sisi tujilinde dhidi ya Mamluki hawa.Oktoba 29 hadi 30, walionekana waandamanaji waliokuwa wakipinga zoezi la uchafuzi uliokuwa ukiendelea. Kulikuwa na ushahidi wa watu, hasa vijana waliofanya jambo hilo, picha zipo na mwonekano halisi ulitambuliwa.
Kwa maoni yangu, kwa kukadiria tu kutokana na mwonekano huo toka sehemu mbalimbali nchini, naweza kusema idadi ya washiriki haiwezi kuwa zaidi ya milioni tano tu kwa nchi nzima.
Nimesema hili linatokana tu na kukadiria kwa kutazama ushahidi wa matukio mbali mbali yaliyo onyeshwa kwenye picha.
Tume ya uchaguzi imemtangaza Samia Suluhu Hassan kuwa mshindi kwa nafasi ya urais, kwa kupata kura milioni 31.9 (31,913,866); asili mia 97.66 ya kura zote zilizopigwa siku ya uchafuzi..
Walio jiandikisha na kuwa na sifa ya kupiga kura walikuwa ni waTanzania milioni 37, kwa maana kwamba walioitikia wito wa kupiga kura walikuwa ni asili mia 86.2.
Maana yake ni kwamba palikuwa na mwitikio mkubwa sana wa wapiga kura na kujitokeza kutimiza HAKI yao ya kuwachagua viongozi wao. Takwimu za aina hii ni nadra sana kuzipata katika nchi yoyote humu duniani; siyo kwenye hizo nchi zinazo fahamika kuwa za kidemokrasia, na hata kwenye nchi za mlengo wa kikomunisti.
Hawa waTanzania wenye mwitikio mkubwa namna hii; hawa wametoka sayari gani hawa?
Lakini nirudi kwenye dhumuni la mada hii. Wingi wa watu milioni 30 hauwezi kufichika hata kwa mwonekano tu.
Kwa hiyo basi, naomba wote wenye ushahidi wa waTanzania kupanga misululu nchi nzima ili wamchague Samia Suluhu Hassan kuwa rais wao watuonyeshe tu picha hizo, popote pale walipoona watu wakijipanga mistari kusubiri kupiga kura.
Watu kiasi hiki hawawezi kutoonekana kwa siku hiyo moja ya zoezi hili.
Twende tu taratibu, mkuu 'Nyamaiso", vyovyote vile tutafika tu sina shaka yoyote.Kalamu, naona unjipa home work ya ajabu sana,
Hivi kwa uliyojiuliza hapo, akitokea mtu wa Tume ya Uchaguzi akakuelewesha , utakubali,
Naona tuangalie the way forward nini cha kufanya, sababu majibu hata kwa mtu wa kawaida kabisa yanaonekana, ni wizi na kupika matokeo kama kawaida yao.
Mwishowe italazimu iwe hivyo, kwa sababu hakuna binaadam yeyote asiyetaka kuishi. Kwa hiyo kulinda maisha ni wajibu namba moja kwa kila mtu.Kama waliopiga kura wapo, hawafiki watu Millioni moja. (1 Mil) Huu ni upikaji wa data wa kijinga sana ambao haujapata kutokea, wizi, vitisho na mauaji ya kutisha. Hadi lini tutakubali kuuawa? Tutafute silaha, na sisi tujilinde dhidi ya Mamluki hawa.
Take it from me—you won’t be able to make sense of these statistics!Oktoba 29 hadi 30, walionekana waandamanaji waliokuwa wakipinga zoezi la uchafuzi uliokuwa ukiendelea. Kulikuwa na ushahidi wa watu, hasa vijana waliofanya jambo hilo, picha zipo na mwonekano halisi ulitambuliwa.
Kwa maoni yangu, kwa kukadiria tu kutokana na mwonekano huo toka sehemu mbalimbali nchini, naweza kusema idadi ya washiriki haiwezi kuwa zaidi ya milioni tano tu kwa nchi nzima.
Nimesema hili linatokana tu na kukadiria kwa kutazama ushahidi wa matukio mbali mbali yaliyo onyeshwa kwenye picha.
Tume ya uchaguzi imemtangaza Samia Suluhu Hassan kuwa mshindi kwa nafasi ya urais, kwa kupata kura milioni 31.9 (31,913,866); asili mia 97.66 ya kura zote zilizopigwa siku ya uchafuzi..
Walio jiandikisha na kuwa na sifa ya kupiga kura walikuwa ni waTanzania milioni 37, kwa maana kwamba walioitikia wito wa kupiga kura walikuwa ni asili mia 86.2.
Maana yake ni kwamba palikuwa na mwitikio mkubwa sana wa wapiga kura na kujitokeza kutimiza HAKI yao ya kuwachagua viongozi wao. Takwimu za aina hii ni nadra sana kuzipata katika nchi yoyote humu duniani; siyo kwenye hizo nchi zinazo fahamika kuwa za kidemokrasia, na hata kwenye nchi za mlengo wa kikomunisti.
Hawa waTanzania wenye mwitikio mkubwa namna hii; hawa wametoka sayari gani hawa?
Lakini nirudi kwenye dhumuni la mada hii. Wingi wa watu milioni 30 hauwezi kufichika hata kwa mwonekano tu.
Kwa hiyo basi, naomba wote wenye ushahidi wa waTanzania kupanga misululu nchi nzima ili wamchague Samia Suluhu Hassan kuwa rais wao watuonyeshe tu picha hizo, popote pale walipoona watu wakijipanga mistari kusubiri kupiga kura.
Watu kiasi hiki hawawezi kutoonekana kwa siku hiyo moja ya zoezi hili.
Si za watanzania bali maruhani au waganda na vibwengo wenzakeKalamu, naona unjipa home work ya ajabu sana,
Hivi kwa uliyojiuliza hapo, akitokea mtu wa Tume ya Uchaguzi akakuelewesha , utakubali,
Naona tuangalie the way forward nini cha kufanya, sababu majibu hata kwa mtu wa kawaida kabisa yanaonekana, ni wizi na kupika matokeo kama kawaida yao.
Our duty is to expose and remind, even the deranged or unhinged ones of their devilish work.Take it from me—you won’t be able to make sense of these statistics!
Hakuna mtu muadilifu anayeweza kukataa kupokea msaada wa fedha ya kuendeshea uchaguzi, lakini akakubali kupokea misaada mingine yote, including msaada wa fedha ya kujengea matundu ya vyoo.
Hawa watu ni majambazi. Pure and simple!
Uganda hapa kwa kweli watakuwa wamekosa shukrani kabisa kujiingiza kwenye kadhia mbaya kabisa kama hii. Hii ni shukrani ya mateke ya punda hasa!Si za watanzania bali maruhani au waganda na vibwengo wenzake
Hawa waseenge wanapeana kampani na wao huwa hawana wanachojali zaidi ya wao wenyewe na familia zao.Uganda hapa kwa kweli watakuwa wamekosa shukrani kabisa kujiingiza kwenye kadhia mbaya kabisa kama hii. Hii ni shukrani ya mateke ya punda hasa!
Museveni kazeeka vibaya sana huyu.
Pamoja na yote haya mkuu, Museveni siyo mtu wa kutufanyizia hivi sisi hata kidogo.Hawa waseenge wanapeana kampani na wao huwa hawana wanachojali zaidi ya wao wenyewe na familia zao.
Angekuwa binadamu mwenye akili timamu sawa. Maimla ni wagonjwa wa vichaa na ubinafsi.Pamoja na yote haya mkuu, Museveni siyo mtu wa kutufanyizia hivi sisi hata kidogo.