Guevara Jr
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 300
- 811
- Thread starter
- #41
Heshima kwako Mkuu.....Na iendelee kuwa kheri kwa ndoa yako [emoji123]Ndoa kwa kweli, siyo kuona mrembo na kumkimbilia, inahitaji kuangalia sana tena kwa kina. Mimi ndoa yangu ina miaka 11 ila utadhani tumeoana jana. Sio kwamba hatungombani la, tunagomba yanaisha. Napenda kumwita mke wangu mrembo vipi. Ila nimezoe tu. Naona mambo ni mazuri.