Heshima kwa Brothers mliooa na mnaishi kwa upendo, amani na furaha katika ndoa zenu

Heshima kwako Mkuu.....Na iendelee kuwa kheri kwa ndoa yako [emoji123]
 
Pambana kijana. Ndoa inahitaji uvumilivu. Kununiana na kutofautiana ni jambo la kawaida. Muhimu tu heshima, kusikilizana, upendo, amani na furaha visitoweke kamwe ndani ya nyumba.
Asante sana Mkuu....nimeichukua hii [emoji120]
 
Asante sana Mkuu....hii nimeiandika ubongoni na kwenye diary [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…