Heshima Kwa mwanaume uliyezaa naye ni muhimu

Jamaa ameenda sehemu kupata huduma akaomba account number alipie akapewa, anaangakia jina ni jina la Mkewe.

Mkewe hajawahi kumwambia kama ana biashara popote pale.

Akahisi labda majina tu yamefanana akaomba namba ya Boss akapewa namba ile ile.

🙌🏾 Wanawake wana siri bhana
 
Mara nyingi baada ya break up wanawake wanashindwa kabisa ku move on aiseh!!

Kinyongo chao wanahamishia kwa watoto wamchukie baba Yao hata kama makosa ni yao!!

Sisi hatukuumbwa kama ATM mashine Hadi tutimize matarajio yao wanayoyataka!!kama chakula kinapatikana na pa kuishi Papo plus mahitaji mengine yapo inatosha sio una m force mme afanye kama fulani wakati yeye ana misimamo yake!!!

Project re start was the best!!!
 
nyani anafanya mapenzi na nyani mwenzie, hapo amejitukana yeye mwenyewe
 
😂Eeeeh ila wewe
Niko upande wa Aunty Ezekiely, hiyo nyani na ikae kwa kutulia! Jitu linazaa na mwanamke halafu linapotea mazima! Ukute huyo anayeambiwa ni baba Bora hajawahi kumbagua huyo mtoto wa hiyo nyani!
 
Lingemtomber sana lisingeitwa nyani!
Yeye ndio bado analilia hiko kitomber sababu yeye ndio anapiga kelele Kila siku wakati mtu yupo kimya hatimizi majukumu mpeleke sehemu husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…