Heshima Kwa mwanaume uliyezaa naye ni muhimu

Mose iyobo ni mweusi sana, yani black boy, ndio CHANZO kufananishwa na nani, alafu labda sababu alie nae sasa ni shombe.

Wanajuana wao, bado wanawasiliana, mara mlete mtoto mara usimchukue mtoto wangu, wanajuana Kwa kifupi japo kauli iliyo tumika si sahihi, mitandao inatunza, diamond na jux waliwatukana wa tz **** make, Oktober 29 duka la jux likavunjwa, duka la billnas lika chomwa na waandamanaji dunia ya sasa fikiria kabla ya kunena.

Nilisha jifunza sana baadhi ya kauli zilinitokea puani, vyema kunyamaza TU maisha yaende.
 
Yeye ndio bado analilia hiko kitomber sababu yeye ndio anapiga kelele Kila siku wakati mtu yupo kimya hatimizi majukumu mpeleke sehemu husika.
Huyo demu mzinguaji, mshikaji alimnunulia simu mtoto wake, ye tayari kakimbilia Instagram kutukana, alafu mdau hana time naye
 
Ni
Mose iyobo ni mweusi sana, yani black boy, ndio CHANZO kufananishwa na nani, alafu labda sababu alie nae sasa ni shombe.

Wanajuana wao, bado wanawasiliana, mara mlete mtoto mara usimchukue mtoto wangu, wanajuana Kwa kifupi japo kauli iliyo tumika si sahihi, mitandao inatunza, diamond na jux waliwatukana wa tz **** make, Oktober 29 duka la jux likavunjwa, duka la billnas lika chomwa na waandamanaji dunia ya sasa fikiria kabla ya kunena.

Nilisha jifunza sana baadhi ya kauli zilinitokea puani, vyema kunyamaza TU maisha yaende.
Sahihi
 
Hiyo Dunia unayoishi wewe ni ishapitwa na wakati

Dunia ya Sasa unaangalia interest (maslahi) kwanza in both side

Mtoto anabidi azaliwe na baba ambaye yupo financial stable na sio sura n.k HAYO unavyowaza ni mawazo ya kimasikini. Sijui n.k

Watu wanazaa mpaka na mababu lengo mtoto apate good head start (Mwanzo mzuri wa Maisha)

Kwahiyo Aunt Ezekiel huyo Nyani wake the guy is very ugly ila ana PESA kitu kinachofanya anaendelea kuwa karibu na Aunt

Unafikiri huyo jamaa angekuwa broke angekuwa anajadiliwa mtandaoni ???
 
Kwahiyo unanishauri siyo,
Kwahiyo Mimi nipo kizamani kwakuwa naangalia sura .Una uwezo mdogo Sana wa kufikiri
 
Huyo anayesifiwa ndo anapaswa kuwa makini, hiyo ni Alert kuwa mke/mpenzi ana maumivu, wanawake wana emotion.

Kwanini hamsahau nyani wake? Kutokumsahau mtu mliyeachana kwa kiwango hicho kunaleta maumivu, huwezi kuwa na furaha na mahusiano ya sasa kama mahusiano ya kale yanakupa maumivu.

Ukiona mpenzi/mkeo kila saa anamtukana mwanaume ambaye wameachana kuna tatizo kubwa linalomfanya ashindwe kumove on na reaction yake pengine ni vice versa ya uhalisia wa anachojisikia ndani yake juu ya huyo mtu.
 
Back
Top Bottom