Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Huyo demu mzinguaji, mshikaji alimnunulia simu mtoto wake, ye tayari kakimbilia Instagram kutukana, alafu mdau hana time nayeYeye ndio bado analilia hiko kitomber sababu yeye ndio anapiga kelele Kila siku wakati mtu yupo kimya hatimizi majukumu mpeleke sehemu husika.
Demu bado kashindwa kusahau viunoHuyo demu mzinguaji, mshikaji alimnunulia simu mtoto wake, ye tayari kakimbilia Instagram kutukana, alafu mdau hana time naye
SahihiMose iyobo ni mweusi sana, yani black boy, ndio CHANZO kufananishwa na nani, alafu labda sababu alie nae sasa ni shombe.
Wanajuana wao, bado wanawasiliana, mara mlete mtoto mara usimchukue mtoto wangu, wanajuana Kwa kifupi japo kauli iliyo tumika si sahihi, mitandao inatunza, diamond na jux waliwatukana wa tz **** make, Oktober 29 duka la jux likavunjwa, duka la billnas lika chomwa na waandamanaji dunia ya sasa fikiria kabla ya kunena.
Nilisha jifunza sana baadhi ya kauli zilinitokea puani, vyema kunyamaza TU maisha yaende.
Ni kweli,ni vile tu maisha ni magumu,lakini mwanamke ukiwa na pesa huwezi zaa na mwenye Sura personalKumbe mnaangalia sura ndo mnazaa nao .....
Haya sawa
Upo sawa kabisaKama mlishaunganisha makojoleo na mtu mkiachana isiwe vita wewe move on! Ukishindwa wewe ndiye mwenye matatizo maana unasumbua watu walio move on.
wakwanza amefariki,wapili ugomvi,watatu amefariki, wanne, watano wasita mpaka wa saba unaachana nao tu? Huoni kama wewe ndiye mwenyeshimda?Bahati mbaya zipo ikiwemo Kifo ama ugomvi
Kwahiyo unanishauri siyo,Hiyo Dunia unayoishi wewe ni ishapitwa na wakati
Dunia ya Sasa unaangalia interest (maslahi) kwanza in both side
Mtoto anabidi azaliwe na baba ambaye yupo financial stable na sio sura n.k HAYO unavyowaza ni mawazo ya kimasikini. Sijui n.k
Watu wanazaa mpaka na mababu lengo mtoto apate good head start (Mwanzo mzuri wa Maisha)
Kwahiyo Aunt Ezekiel huyo Nyani wake the guy is very ugly ila ana PESA kitu kinachofanya anaendelea kuwa karibu na Aunt
Unafikiri huyo jamaa angekuwa broke angekuwa anajadiliwa mtandaoni ???
MhmmmWeee,sema kweli…ukishakunywa then unigawe kwa wana huko🙄🤒 sorry ngoja nipige msasa tu🥴
😞Mhmmm
Hao wenye sura personal ndo wana mapenzi ya dhati sasa, hz dharau ndo zimefanya uwepo wa ma single mothers wengi.Ni kweli,ni vile tu maisha ni magumu,lakini mwanamke ukiwa na pesa huwezi zaa na mwenye Sura personal
Ur world is no longer existKwahiyo unanishauri siyo,
Kwahiyo Mimi nipo kizamani kwakuwa naangalia sura .Una uwezo mdogo Sana wa kufikiri
Huyo bado mtoto mdogo sana.Hao wenye sura personal ndo wana mapenzi ya dhati sasa, hz dharau ndo zimefanya uwepo wa ma single mothers wengi.
Any way: all the best all woman
Aliyezaa na nyani ni nyaniKwa hiyo kazaa na nyani
Kuna watu wanazeeka na ujinga wao SMH!