Sonko Bibo
JF-Expert Member
- May 24, 2019
- 1,181
- 1,839
Kiaje tena mkuu?Mwaka wa uchaguzi huu kampeni zishaanza
Mwaka huu kuna uchaguzi kuna baadhi ya makada washaanza kujipigia promoKiaje tena mkuu?
Hahahaaa sio poa kabisa..Mwaka huu kuna uchaguzi kuna baadhi ya makada washaanza kujipigia promo
Ngoja aje Joanah tuone yeye atasemaje.Watakuja kusema hii ni I'd Yako nyingine
Huwez kutana na Ma CEO mtaani. Hao unakutana nao kwenye classic stuffs πAliyeanzisha uzi na aliyemtag wote sio wenyeji sana kwenye maisha yangu ya JF,sio IDs nazokutana nazo sana hapa ππ
Shida ya hapa JF kuna watu wanadhani kila mtu anapaswa kuwapa attention ili uwepo wake utambuliwe.Huwez kutana na Ma CEO mtaani. Hao unakutana nao kwenye classic stuffs π
Ni watoto, ndio tatizoShida ya hapa JF kuna watu wanadhani kila mtu anapaswa kuwapa attention ili uwepo wake utambuliwe.
Sisi tuna ulimwengu wetu tofauti na wengine na hatuwezi kuishi ulimwengu mmoja watu laki sita wa JF.
Huwez kutana na Ma CEO mtaani. Hao unakutana nao kwenye classic stuffs π
Ukasali Sasa, Muda wa Mapepo kusumbua walokole huu.Story nzuri
Ahsante Binti SayuniiStory nzuri