Heshima uliyojijengea kwa miaka zaidi ya 50, usiiharibu kwa vipande 30 vya fedha

Nimemkumbuka Dr. Mvungi
 

Mbona ni opposite


View: https://www.youtube.com/watch?v=Q7rQm4X1Bjg
 
Kama walikanusha ile video sio Mwananyamala Hospital watu hawa hakuna uovu wanaoshindwa kufanya lakini thnaqakumbusha jambo moja ya kuwa Yuko Mungu alie Mkuu ambae haongeki kwa lolote na akipanga jambo lake litatokea na Tanganyika tunaenda kuona ukubwa wake hakuna hila wala uovu utakaoshinda dhidi ya Haki wahusika wawajibike ni swala la muda
 
bs, kama ni kweli mikoa ya pwani imeachwa nyuma kwa makusudi kama anavyodai kwa sababu ya islam, na nani ameiacha nyuma mikoa ya pemba, unguja ambapo serikali na watu waishio huko ni ~99% islam? ...

Hao jamii ni walalamishi tu, lkn ukweli ni kwamba Mikoa mingi ilio achwa nyuma, siku ukitembelea utajua tu sio wachapa kazi.

Mikoa michache ilio dumazwa na serikali ni ile inayotegemea kilimo, Hiyo kuendelea ni ngumu kutokana na sera mbovu za kilimo ila sio swala la udini.

Wale wazee wa bagamoyo walivo wavivu waanze kuilaumu serikali kwa kukosa maendeleo kweli?
 
Km anataka kweli kuilinda legacy basi ajiengue kabisa kwenye huo mchakato kinyume chake akija na majibu ya kupikwa pikwa jikoni ndio mwanzo wa kuua legacy aliyoijenga kwa miaka mingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…