Sokulu Mkombe
Senior Member
- Oct 31, 2018
- 133
- 171
Asante mkuuKe ana upendo wa dhati kuliko Me kwa asili ya Binadamu tulivyoumbwa na Me huwa anatamani.
Ke kinachomponza kuonekana hana upendo kwa Me ni udhaifu wake wa kuamini uwongo sana kuliko ukweli, husababisha kuwa kigeugeu na kukosa msimamo kimaamuzi wakati wowote.
asant sana mkuu nimejifunza kituKwanza nivizuri utambua nature ya jinsia hiz mbili. Mwanaume kaumbwa na hali ya kumiliki power & authorities, while mwanamke waongozwa na hisia zaidi.
Kwanini mwanaume ndio anatakiwa ampende mke wake? Jibu ni kuwa kwa sababu mwanamke anaongozwa na hisia bas anaitaji matendo ya kihisia zaid ili kumliki na kumfanya ajihisi yupo sehemu salama na kwa mwanaume pia anaitaji matendo ya heshima zaid ili kumfanya ajihisi bado ana possess power & authorities ndan ya imaya yake.