Buchumipetro
Member
- Mar 7, 2025
- 20
- 33
Wanawake wanafikia hatua wana kera sanaa unaliona kama dude tu.Mwanamke & mwanaume. Heshimu ndoa yako wewe ambae uko kwenye ndo mda unapofika wakulala weka simu yako mezani na umkumbatie mwenzako sio yeye apate baridi eti wewe uko mtandaoni labuda kama kunavitu nyote mnaviangalia huko lakini eti mwenzako kasinzia et wewe uko mtandaoni sio vyema heshimu ndoa yako ewe mwanamke na mwanaume.
🤣🤣🤣AiseeWanawake wanafikia hatua wana kera sanaa unaliona kama dude tu.
NAONA ROHO WA MUNGU ANAONGEA NA MTU HAPA KUPITIA JFMwanamke & mwanaume. Heshimu ndoa yako wewe ambae uko kwenye ndo mda unapofika wakulala weka simu yako mezani na umkumbatie mwenzako sio yeye apate baridi eti wewe uko mtandaoni labuda kama kunavitu nyote mnaviangalia huko lakini eti mwenzako kasinzia et wewe uko mtandaoni sio vyema heshimu ndoa yako ewe mwanamke na mwanaume.
Ahhhlabuda