Buchumipetro
Member
- Mar 7, 2025
- 20
- 33
Mwanamke & mwanaume. Heshimu ndoa yako wewe ambae uko kwenye ndo mda unapofika wakulala weka simu yako mezani na umkumbatie mwenzako sio yeye apate baridi eti wewe uko mtandaoni labuda kama kunavitu nyote mnaviangalia huko lakini eti mwenzako kasinzia et wewe uko mtandaoni sio vyema heshimu ndoa yako ewe mwanamke na mwanaume.