HESLB itaanza kutoa hela baada ya sikukuu ya EID EL FITR

Sosthenes Maendeleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
2,724
Reaction score
1,693
Ndugu wana JF wanafunzi wa vyuo mbalimbali hususani vyuo vifuatavyo; UDSM mlimani (chuo cha taifa), MUCE , DUCE na UDOM pesa zao zitaanza kulipwa baada ya sikukuu ya EID EL FITR.

Ni ukweli isiopingika kuwa wanafunzi wameanza Practical Training tangu trh 08/07/'14 lakini serikali imewapa kisogo na kusubiri maandamano ya wanafunzi. Daruso na Udoso wamechemsha kutetea haki za wanafunzi wenzao pamoja na shwangwe na mayowe siku walipojishindia kuingia kwenye regime ya 2014/'15.

Serikali inatengeneza weekness mapema sana, vengenevyo migomo itatokea mingi na wanafunzi watafukuzwa wengi, makahaba watakuwa wengi, wezi na uhalifu utaongezeka nchini.

SERIKALI lipeni pesa zao hata kama munawakopesha watoto wa masikini maana nikisema wa wakulima wachache watadhani wa mawaziri (ie prime minister)
 
Kwa sasa taasisi imara za kutetea maslahi ya wanafunzi vyuoni hazipo bali kuna vibaraka wa watawala wa vyuo ili siku zi songe.

Hii ni kutokana na kuingiliwa kwa taasisi hizo na vyama vya Siasa, serikali na management za vyuo zikizani kufanya hivyo ndio siluhu ya migomo vyuoni.
 

Kiukweli mimi mwenyewe joto nimelionjaa na sijui cha kufanya nini, hapa naomba tu SEPTEMBER COMFERENCE isinihusu maana nauli noumaa
 
dah!! mi ata cjui niseme nini...maana watu tumelalamika weee adi tumechoka!..wakae nazo izo hela watakapoamua kutugea watugee hela zetu ACHA TUTAABIKE TU.
 
dah!! mi ata cjui niseme nini...maana watu tumelalamika weee adi tumechoka!..wakae nazo izo hela watakapoamua kutugea watugee hela zetu ACHA TUTAABIKE TU.

Mmmhhh! Ila mkuu tunazihitaji sanaa, tatizo wasomi tunafundishwa uoga kuanzia kwenye course work mkuu
 
dah!! mi ata cjui niseme nini...maana watu tumelalamika weee adi tumechoka!..wakae nazo izo hela watakapoamua kutugea watugee hela zetu ACHA TUTAABIKE TU.

Napenda kusema kwamba ili si tatizo bali ni viongozi mizigo na vibaraka wa Tabaka tawala, wa kwanza kabisa ambao wamekuwa manamba wa kwanza ni umoja wa vyuo vikuu, sijawahi ona nchi inaendeshwa kipuuzi kama hii nchi, unawambia watu waende kwenye mafunzo wakati ujawalipa pesa yao, tukikumbuka nyuma wote ambao mnaichezea elimu ya juu Nyerere aliwasomesha bure na nchi ikiwa changa Leo hii kila kitu kipo mnawazingua wanafunzu tena wa elimu ya juu.
 

Na hao wanaotuhangaisha wao walisoma elimu ya awali hadi udhamivu bure kabisa tena ughaibuni, leo hii shukurani mateke. Jk#1 hakutaka haya bali wasomi wawezeshwe wawe na udhalendo
 
wakae nazo tu washanivurugia mipango yangu yote na kura yangu hawaipati ng'ooooooo!!!!!!!:shetani:
 
wakae nazo tu washanivurugia mipango yangu yote na kura yangu hawaipati ng'ooooooo!!!!!!!:shetani:

Hahahahah, umenifurahisha mkuu. Hili tatizo linajengwa na sisi vijana kwani ukitathmini idadi ya vijana ni kubwa sana na tukishirikiana kwa kupiga kura tutapata viongozi wawajibikaji na waadilifu. Hapa namaanisha vijana wengi hawana tongotongo la ujinga yaani ni werevu
 
From a trusted source, ni kwamba we'll receive the paycheck as soon as 1st of Aug.

Tatizo hiki kizazi tumekua too cowardice, we can't feed even some few frenzy, we're that frigid that hata maandamano tunashindwa, now them that they've known our point of frailness, wanatufanya watakavyo... surprisingly enuf wakafail to walk their talk, hata hiyo pesa tukapewa mwezi wa 10....

Mi bado natupa lawama kwa Daruso, na kijana filbert nickson-fool's gold ni mzigo mzito kwa chuo. Tangu akamate uongozi things hv been completely running out of scale.
 
Zitakuwa zimeenda kwenye bunge la katiba

Na linaanza trh 05/08/'14 yaani huo upuuzi watakaokuwa wanafyatua wa kupitisha hoja, mimi na wewe mtoto wa masikini tuandae tu pesa ya kurudi chuo lakini hao watoto wa wabunge kuanzia siku ya kwanza anatunziwa pocket money 50,000 hadi liishe mtoto ana atleast millions2
 
Na ninasikia kaandika barua ya kufukuzisha mawaziri na viongozi wapinzani wake. What hell is he?
 
Na ninasikia kaandika barua ya kufukuzisha mawaziri na viongozi wapinzani wake. What hell is he?


Huyu dogo ni mofo, i knew it since day1...
Unakumbuka how he messed up kwenye kupata boom la 4, just imagine hata Ardhi na MU had it before us, very bewildering...!!

Haya!! anataka awafuze mawaziri wake ili iweje?? Nakati yeye ndio kiroba cha misumari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…