Sosthenes Maendeleo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,724
- 1,693
Ndugu wana JF wanafunzi wa vyuo mbalimbali hususani vyuo vifuatavyo; UDSM mlimani (chuo cha taifa), MUCE , DUCE na UDOM pesa zao zitaanza kulipwa baada ya sikukuu ya EID EL FITR.
Ni ukweli isiopingika kuwa wanafunzi wameanza Practical Training tangu trh 08/07/'14 lakini serikali imewapa kisogo na kusubiri maandamano ya wanafunzi. Daruso na Udoso wamechemsha kutetea haki za wanafunzi wenzao pamoja na shwangwe na mayowe siku walipojishindia kuingia kwenye regime ya 2014/'15.
Serikali inatengeneza weekness mapema sana, vengenevyo migomo itatokea mingi na wanafunzi watafukuzwa wengi, makahaba watakuwa wengi, wezi na uhalifu utaongezeka nchini.
SERIKALI lipeni pesa zao hata kama munawakopesha watoto wa masikini maana nikisema wa wakulima wachache watadhani wa mawaziri (ie prime minister)