NAAMINI
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 672
- 235
Sio mimi mkuu hata media yaani radio, tv na blogs huandika hivyo. Hata wazee wanafahamu hilo mkuu
t.v,radio zipi ambazo huwa zinaandika hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mimi mkuu hata media yaani radio, tv na blogs huandika hivyo. Hata wazee wanafahamu hilo mkuu
t.v,radio zipi ambazo huwa zinaandika hivyo.
Sio mimi mkuu hata media yaani radio, tv na blogs huandika hivyo. Hata wazee wanafahamu hilo mkuu
hapo kweli nimepatikana
correction; tv & radio hutangaza udsm as chuo cha taifa
Kiukweli mimi mwenyewe joto nimelionjaa na sijui cha kufanya nini, hapa naomba tu SEPTEMBER COMFERENCE isinihusu maana nauli noumaa
Kati ya kizazi cha
wanafunzi wa vyuo vikuu waoga hiki Ni cha kwanza. Na bado eti mna watu
wanajipitisha kwenu wanataka kuwa viongozi wa serikali za wanafunzi
mnawapigia kura!!! Ngoja mkome na uoga wenu na UCCM wenu. Kiongozi
anapanda ndege kwenda KOREA alhali waajiri wake hawana hela, yeye
anakula POSHO ya DARUSO na serikali kwenye mkutano wa viongozi wa Vyuo
duniani?
Hapo Chuoni (mlimani) kuna mtu anaitwa Bush aka Buhenyenge Steven ofisi
ya Afisa mikopo ilianzishwa Kwa ajili yake maana alikuwa Ni Waziri wa
mikopo Enzi hizo na kauli mbiu yake ilikuwa kama hela hazitoki nalala na
kufia HESLB. Leo hii anawasaidiaje wanafunzi?
acheni UOGA nyie watoto, HESLB watawachezea mpaka mkome. Na assessment
lazima mkutwe vituoni hakuna excuse eti sina hela.
Mkuu
unajitahidi kuchochea lakini unashindwa kufanikiwa. Kwanza Bush sio
afisa mikopo pale Udsm kwa miaka zaidi ya minne sasa, siku hizi yupo
Silva na Silva anafanya kazi nzuri sana ila kwa round hii pesa haijafika
chuo, sasa unataka Silva aandamane?
Pia si kwamba bodi wanawachezesha kwato wanafunzi, bali bodi nayo
haijapokea hizo fedha,
Pili rais wa DARUSO kwenda nje ya nchi huwa hatumii pesa wala posho za
DARUSO. Sasa kama rais anapata ufadhili wa nje hilo lisikusumbue cha
msingi akiwakilishe chuo vizuri.
Mwisho, CCM ndio chama tawala, na kinafanya kazi yake vizuri, ukienda pale Udsm viongozi wazuri wa daruso wana asili ya CCM, wanaharakati wazuri wana asili ya CCM, kama hulijui hilo wewe hujasoma UDSM. Kaa kimya.
Ndugu wana jf wanafunzi wa vyuo mbalimbali hususani vyuo vifuatavyo; udsm mlimani (chuo cha taifa), muce , duce na udom pesa zao zitaanza kulipwa baada ya sikukuu ya EID EL FITR. Ni ukweli isiopingika kuwa wanafunzi wameanza Practical Training tangu trh 08/07/'14 lakini serikali imewapa kisogo na kusubiri maandamano ya wanafunzi. Daruso na Udoso wamechemsha kutetea haki za wanafunzi wenzao pamoja na shwangwe na mayowe siku walipojishindia kuingia kwenye regime ya 2014/'15. Serikali inatengeneza weekness mapema sana, vengenevyo migomo itatokea mingi na wanafunzi watafukuzwa wengi, makahaba watakuwa wengi, wezi na uhalifu utaongezeka nchini.
SERIKALI lipeni pesa zao hata kama munawakopesha watoto wa masikini maana nikisema wa wakulima wachache watadhani wa mawaziri (ie prime minister)
Eid imeisha mbona bado.....
kuna jamaa kaniambia hizo pesa mpaka mwezi 10 hizi habari zina ukweli wowote?
Sina haja ya kubishana kama nimesoma UDSM ama la! Haina tija. La msingi tu Ni kuwa nilichokiandika si uchochezi na Ni kikubwa kinakuzidi umri. Kwa taarifa yako Bodi ya mikopo iliwahi kusema haina hela na tuliposhinikiza Enzi za uongozi wa Nimrod Mkono tulipewa pesa kesho yake.Mkuu
unajitahidi kuchochea lakini unashindwa kufanikiwa. Kwanza Bush sio
afisa mikopo pale Udsm kwa miaka zaidi ya minne sasa, siku hizi yupo
Silva na Silva anafanya kazi nzuri sana ila kwa round hii pesa haijafika
chuo, sasa unataka Silva aandamane?
Pia si kwamba bodi wanawachezesha kwato wanafunzi, bali bodi nayo
haijapokea hizo fedha,
Pili rais wa DARUSO kwenda nje ya nchi huwa hatumii pesa wala posho za
DARUSO. Sasa kama rais anapata ufadhili wa nje hilo lisikusumbue cha
msingi akiwakilishe chuo vizuri.
Mwisho, CCM ndio chama tawala, na kinafanya kazi yake vizuri, ukienda pale Udsm viongozi wazuri wa daruso wana asili ya CCM, wanaharakati wazuri wana asili ya CCM, kama hulijui hilo wewe hujasoma UDSM. Kaa kimya.
Sina haja ya
kubishana kama nimesoma UDSM ama la! Haina tija. La msingi tu Ni kuwa
nilichokiandika si uchochezi na Ni kikubwa kinakuzidi umri. Kwa taarifa
yako Bodi ya mikopo iliwahi kusema haina hela na tuliposhinikiza Enzi za
uongozi wa Nimrod Mkono tulipewa pesa kesho yake.
Kwa nature ya Fikra kama zako za kukaa kimya ndiyo Sababu mambo ya
msingi hayaendi Hata maofisini lakini POSHO za vikao hazikosi. Fanya
kukaa chini na kutathmini maandiko yangu. Nikionacho yaweza kuwa u
miongoni mwa viongozi wa serikali ya DARUSO mfu. Mnastahili kuhukumiwa
na wanafunzi Kwa kukaa kimya wakati hawana pesa na mkuu wako kwenda
KOREA wakati wananchi wake hajui Hatma Yao. Ni sawa na baba kualikwa
harusini ukaenda kula ukashiba alhali nyumbani wanao hawana uhakika wa
kula. Si kila mkutano huwa wanaenda wote, la hasha. Mnaendekeza tabia za
ki VASCO DA GAMA tu.
Kwa kuwa HESLB wameona hakuna uongozi thabiti wameamua kuwapa fedha
wanafunzi Kwa mafungu na kujisikia katika schools, faculties na
departments tofauti ili kuua spirit ya solidarity ambayo wewe inaonekana
si mnufaika wake na hauko tayari Kuiacha kauli mbiu hii ya DARUSO Kwa
kizazi Kijacho. Poor poor Poor and incompetent DARUSO leadership. Hebu
mtafuteni Hata Mtatiro atakusaidieni nini mfanye maana inaonekana
umekuja kumtetea boss wako na kuonesha ulivyo mgeni na mweupe wa
mikakati ya solidarity hapo DARUSO. Usije ukasimama level square na
maneno yako haya, watakuua kama wewe Ni mwanafunzi ama Kiongozi wa
serikali ya wanafunzi.
Mwambie boss wako ama Kiongozi wako unayemtetea Kwa kutokujali maisha ya
wapiga kura wake chuki dhidi yake miongoni mwa wanafunzi Ni kubwa mno
Kwa sasa.
Mkuu mimi nilihitimu hapo mlimani 2012.
Ndiyo Sababu nimesema niliyoandika yanakuzidi umri. Aksante kwa kunifahamisha hili. Basi tambua wana UDSM wenzio pamoja na wengine wa vyuo vingine vikuu na vyuo vishiriki wanateseka Kwa kukosa fedha za mafunzo Kwa vitendo mpaka sasa tunavyoandika humu. Mhitimu wewe saidia kuelimisha jamii yako ione jinsi nchi ilivyopoteza Hata focus kwenye mambo ya msingi Kwa ustawi wa Taifa. Wataalam wa aina gani watazalishwa na mfumo wa elimu usiowawezesha kufanya mafunzo Kwa vitendo ama mazoezi ya kile wanachojifunza?Mkuu mimi nilihitimu hapo mlimani 2012.
Ndiyo Sababu nimesema niliyoandika yanakuzidi umri. Aksante kwa kunifahamisha hili. Basi tambua wana UDSM wenzio pamoja na wengine wa vyuo vingine vikuu na vyuo vishiriki wanateseka Kwa kukosa fedha za mafunzo Kwa vitendo mpaka sasa tunavyoandika humu. Mhitimu wewe saidia kuelimisha jamii yako ione jinsi nchi ilivyopoteza Hata focus kwenye mambo ya msingi Kwa ustawi wa Taifa. Wataalam wa aina gani watazalishwa na mfumo wa elimu usiowawezesha kufanya mafunzo Kwa vitendo ama mazoezi ya kile wanachojifunza?