Pung'o boy
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 685
- 305
Me nipo hapa ofisini kwao yani jamaa wanatoa majibu marahisi kweli. Eti wanasema kukosa mkopo ni kawaida tu.afu wanasema wao na tcu hawana uhusiano na zile priority course za kwenye guide book, tcu ndo wamewaingiza mkenge eti wao hawazitambui
Watu wenye majibu ya kipuuzi huwa hawakosekani kwenye maofisi, huyo jamaa amejibukwa mtazamo wake. Naamini wasemaji wakuu juu ya hilo wapo na watasema jambo lenye maana. Waulizeni pia mpango wa ku-appeal umekaaje?
Me nipo hapa ofisini kwao yani jamaa wanatoa majibu marahisi kweli. Eti wanasema kukosa mkopo ni kawaida tu.afu wanasema wao na tcu hawana uhusiano na zile priority course za kwenye guide book, tcu ndo wamewaingiza mkenge eti wao hawazitambui
Na nyie mnaboa bhana..!! Hata tindikali mmeshindwa kubeba? Mafunzo ya Jktee Hamyatumii vizuri
Tatizo kule hawakutufundisha kutumia tindikali....
Na yale machache tuliyofundishwa,tuliishia kusema
"Sina ganda wala risasi"
Laiti kama tungekua na vitendea kazi,wallah hawa jamaa wangekoma...
Tusubiri naona kikao ni kizito