HESLB mkimaliza kuwaumbua wadaiwa sugu Jumatato ijayo, muwaumbue pia na wale wanaofanya tatizo la ajira kuongezeka nchini

ili la NSSF ni tatzo kubwa sana,, hawa wazee ni wengi na wanateseka,,, miezi sita inapita mstaafu hajapewa hela zake,,, tunapoelekea ni kubaya sana zaid ya tulipotoka,,,
Jamaa hafai kabisa,ananunua midege wakati wastaafu wanakufa na njaa,anapiga PINI hela zisitoke kwa wakati anazichukua anaenda kutapakanya coz anapiga 10% zake....Watu wanataka mlo,yanini uwe na midege mistogolaz halafu mwananchi anashindia ndizi bokoboko zilizochemshwa tu na uji uliowekwa chumvi kwa siku.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…