Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Jamaa hafai kabisa,ananunua midege wakati wastaafu wanakufa na njaa,anapiga PINI hela zisitoke kwa wakati anazichukua anaenda kutapakanya coz anapiga 10% zake....Watu wanataka mlo,yanini uwe na midege mistogolaz halafu mwananchi anashindia ndizi bokoboko zilizochemshwa tu na uji uliowekwa chumvi kwa siku.?ili la NSSF ni tatzo kubwa sana,, hawa wazee ni wengi na wanateseka,,, miezi sita inapita mstaafu hajapewa hela zake,,, tunapoelekea ni kubaya sana zaid ya tulipotoka,,,