HESLB na serikali, mnatuchezea kama maboy wa mtaani – acha ujinga wenu

HESLB na serikali, mnatuchezea kama maboy wa mtaani – acha ujinga wenu

Prof_Adventure_guide

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2023
Posts
533
Reaction score
1,499
Sasa hebu tuongee real talk, no filters, no sugarcoating – straight up raw! Hii kitu mnaita HELSB si msaada tena, ni trap ya mateso. Mnatudhulumu live na bado mnataka tuwaite serikali sikivu? Y’all wildin’ for real!

Wanachuo tumekuwa kama orphans in the system. Boom haiji, ikija ni kama charity ya choyo. Unatoa hela kwa masharti ya kipumbavu, mtu anapewa 0% lakini yuko deep kwenye maisha ya ghetto, mama ni mama lishe na baba ni gone since day one – yet bado unamwambia hana sifa. Man, that’s some bullsht system!*

Wanafunzi vyuoni wanateseka kama ma prisoners wa kisaikolojia – no food, no fare, no peace of mind. Unasoma na stress, assignment juu, exam chini, lecturer anataka printout na hardcopy, wakati mfukoni una mia tano tu. And y’all expect grades to be A+? Nigga please!

Boom ikichelewa, bro unapigwa eviction na landlord, unarushwa nje kama mhalifu. Wengine wanaishia kulala kwa friends, wengine wanarudi home na wengine wanaingia hustle za street zisizostahili mwanafunzi wa chuo. Hii siyo education tena, hii ni survival series on Netflix level sht.*

Na bado mnakuja kututisha na marejesho ya mkopo? Mnashindwa kutupatia stahiki zetu mnataka tukate kilicho baki tulipe madeni yenu? You’re playin’ dirty games on people’s futures. Mnanyanyasa watu halafu miaka ikipita mnataka kuleta threats, like bro you owe us! No! Y’all owe us peace, support and dignity.

Viongozi wa serikali mpo kimya mkijifanya hamjui kinachoendelea vyuoni, lakini kila siku mnaongeza posho zenu, safari za nje, magari mapya – huku mwanachuo hana hata nauli ya kufika darasani. Mnatuambia nchi haina pesa lakini wizi na ubadhirifu uko kila kona. This country run like a cartel!

Kama mmeshindwa kutupa boom kwa haki, bora mfute hiyo mikopo kabisa, watu waingie chuo wakijua life ni moto since day one. Hii mambo ya kutupa matumaini ya uongo ni ujinga – pure bullsht*! Mnatuona kama jokes – well guess what? We tired of this lame-ass game!

Miaka kama 2020 hadi 2024 ni mfano mzuri – wanachuo walikosa mikopo bila sababu, wengine wakasubiri boom hadi week ya mtihani. Wengine walipata hela ndogo kuliko fare ya kurudi home. That’s straight mental abuse!

HELBS, you messed up! Serikali, you worse! Mnadhani tunakaa kimya forever? Nah fam, this sht gotta stop!* Tumechoka kuwa victims wa system yenu ya kihuni. Mnataka graduates lakini mnatufanyia kama tunatoka hell. Acheni utoto, acheni ushenzi.

Message final: Kama hamuwezi kutu-support, basi msitutese. Hii siyo sadaka, ni haki yetu. We ain’t beggars, we students – na tunahitaji respect!
 
Wamekusikia, Mimi nimependa slangs za kimarekani marekani hizo, Mara bullshit mara lame ass game

Watakuja wengine utaambiwa unadeka jiandae kisaikolojia
 
Wewe boom kuchelewa TU ngonjera nyingi uliza sisi wanyabi pale uyunivasetini bila boom bila sapoti ya wazazi Wala ndugu lakini mwisho wa siku tulichenjua hivo hivo kitabu kilipigwa kwa kiwango cha lami pesa mtaani ilisakwa kama paka aliyekunya kwenye debe la UNGA wa mlala hoi.
Yaani ilikuwa fresh tu akusemwa mungu, serikali Wala ndugu.
Acha kudeka kaza ndala
 
Back
Top Bottom