Leo ndo nimeamini kuwa free manson wapo na kazi zao zinaonekana mansonly wanaamin katika mwanamke mjane anaitwa kabala kulingana na kitabu kinaitwa the mansonly tegris na ndio maana wanaitana brothers yaani wao n ndugu yatima ndio maana misaada yao inaelekezwa kwa yatima na wajane nina mashaka na hzi pesa za boom zitakuwa za kimanson kwan sio kweli yatima wote ni masikini wenye uhitaji wa mikopo misaada ya kimanson hupelekwa kwa walemav h ni kwa mujibu wa kitabu cha new masonic order hvyo bodi ya mikopo ya tz ni charity group na si kama unavyofikiria