Heslb ni charity group ngo au ni idea za kifree mansonly

Heslb ni charity group ngo au ni idea za kifree mansonly

pelanya

Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
21
Reaction score
5
Leo ndo nimeamini kuwa free manson wapo na kazi zao zinaonekana mansonly wanaamin katika mwanamke mjane anaitwa kabala kulingana na kitabu kinaitwa the mansonly tegris na ndio maana wanaitana brothers yaani wao n ndugu yatima ndio maana misaada yao inaelekezwa kwa yatima na wajane nina mashaka na hzi pesa za boom zitakuwa za kimanson kwan sio kweli yatima wote ni masikini wenye uhitaji wa mikopo misaada ya kimanson hupelekwa kwa walemav h ni kwa mujibu wa kitabu cha new masonic order hvyo bodi ya mikopo ya tz ni charity group na si kama unavyofikiria
 
kama ni freemason Kwa hiyo tuliopewa boom kuna madhara yeyote ambayo tutapata kutokana na heslb , kama hamna waache tu waendelee na ufree mason wao Sisi haituhusu
 
najua zote ni hasira za kukosa boom dogo wengi 2likosa mpaka leo 2memaliza chuo fikiria jinsi ya kuendeleza masomo yako
 
Hakuna madhala but sera zao is too mansonic

*kwanza free manson na missions zao hazina madhara,its like a way of serving the almighty lord...

*free mason hutoa misaada kwa wale wenye uhitaji na wala si wajane na yatima pekee...

*free mason hawana nia ya kuvuruga dini za watu wengine,neither are they devil worshipers...
HESLB haina connection yyte na mason,na hata kama wana connection nao hakuna hatari....JAMANI TUZICHAPE HIZO NOTI ZAO,THEY'RE VERY SAFE....
 
Mkuu Jaribu njia nyingine ile uendeleze kitabu, kutokwa Povu humu Jamvini haitabadilisha chochote! umekosa bumu, umekosa tu, Freemason, sijui yatima, sijui kabala! Hizo ni Porojo tu!
 
Back
Top Bottom