HESLB: Serikali imeanza kulipa Malipo ya robo ya nne ya Mwaka wa Masomo 2019/2020 kwa Wanafunzi 132,119 Jumla ya TZS 66.9 Bilioni

Trust None

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
1,260
Reaction score
4,419
Kama ilivyo kwenye sheria za bofi ya mikopo, kila mnufaika atapewa kiasi kinachoendana na siku alizokaa chuoni.

Hapo awali kabla ya Corona, boom moja ilikuwa 505,000 hadi 520,000 lakini kwa mfumo huu itakuwa pungufu.

Je, kama boom limepunguzwa, vipi kuhusu ada na direct cost? Vilipunguzwa kulingana na siku za masomo?

======

Soma ufafanuzi uliotolew na Bodi ya Mikopo:

= >
HESLB: Hatujapunguza mikopo ya Wanafunzi. Tunatoa fedha za kujikimu kulingana na siku za masomo

Baadhi ya Michango ya Wanachama Waliochangia huu Mjadala


 
Kulingana na taarifa iliyotolewa na Mkurungezi wa Bodi ya mikopo ya wanfunzi wa Elimu juu leo katika ukurasa wake wa Twitter inadai kuwa malipo yatafanyika kulingana na siku zilizo bakia kulingana na ratiba za chuo husika. Chini nimeambanisha picha ya tangazo
 
Waache roho mbaya, wawalipe vijana wetu kama CCM inavyowalipa mafao wabunge kama yule wa kwenye jimbo la Tundu Lissu. Hakumaliza hata mwaka, kaondoka na mafao ya zaidi ya milioni 200.
 
Wanachuo mme chachamaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mbona yupo sahihi wewe, ndiye umesoma na hujaelewa. Soma vizuri tangazo utaelewa nini amemanisha, coz taarifa inaeleza watalipwa kulingana na siku walizokaa au watakazo kaa vyuo which means boom ni next week hivo kufanya siku 45 tu, ndio bodi watalipa ukipiga mahesabu inakuj 391k.
Tangazo na ulicho kiandika havina uhusiano.
Tumie elimu yako kuchambua mambo kabla hujatuletea mrejesho kamili.
Au stress za mitihan?
 
Maandishi ya blue watu hawajayaelewa...vyuo vingi vilibadilisha ratiba zake hivyo kuna baadhi ya vyuo watamaliza semister kabla ya siku.hivyo watajumlisha siku utakazokuwa chuoni kwa robo ya nne ya mkopo utazidisha kwa 8500.
Hapo kama chuo chako hautakaa siku 60 kwa robo ya nne ya semister jua huna tena laki 5
 
Inaweza kuwa imepunguzwa kweli
Kwani si huwa inatolewa kulingana na idadi ya siku wawapo chuoni.
Kutokana na Covid-19, siku zimepungua.

Robo ya tatu walitoa jumla billioni 63.7,
Robo ya mwisho wametoa 44.5 billioni.
 
Mi naona ni sawa tuu, jamaa wamecheza na hesabu ya siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…