HESLB: Serikali imeanza kulipa Malipo ya robo ya nne ya Mwaka wa Masomo 2019/2020 kwa Wanafunzi 132,119 Jumla ya TZS 66.9 Bilioni

HESLB: Serikali imeanza kulipa Malipo ya robo ya nne ya Mwaka wa Masomo 2019/2020 kwa Wanafunzi 132,119 Jumla ya TZS 66.9 Bilioni

Duuuh! hapo mipango ya wanachuo wengine imeshavurugika, hasa wale wa kukopa kwa riba, sijui itakuaje.
 
Duuuh! hapo mipango ya wanachuo wengine imeshavurugika, hasa wale wa kukopa kwa riba, sijui itakuaje.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama ilivyo kwenye sheria za bofi ya mikopo, kia mnufaika atapewa kiasi kinachoendana na siku alizokaa chuoni.

Hapo awali kabla ya Corona, boom moja ilikuwa 505000 hadi 52000 lakini kwa mfumo huu itakuwa pungufu.

Je, kama boom limepunguzwa, vipi kuhusu ada na direct cost? Vilipunguzwa kulingana na siku za masomo?
View attachment 1512144
Huo ndio uchumi wa kati
 
Hivi mbona wasomi wa sasa wa kitanzania mmekuwa namna hii!!

Nikweli mmefikia hatua ya kushindwa kujua application ya hesabu za(+,-,× na ÷)?.

Mkataba upo wazi kabisa pesa ya chakula na maradhi utalipwa kwa siku utakazokuwepo chuoni kimasomo na Wala siyo kwa semester hivyo kama siku zikipungua unategemea pesa isipungue? Na Kama zikiongezeka unategemea pesa isiongezeke?

Kuhusu suala la directed cost(,otherfees) na pesa ya ada hizi haziwe pungua sabab ya kupungua kwa Siku Maana zenyewe hazilipwi kwa Siku Bali zinalipwa kwa muhula au semester,, hivyo kitu pekee Cha kupunguza hizi pesa nikuondoa semester na Wala siyo kitu kingine..

Swali je Ni chuo gani ambacho kimefuta semester na bado kinawalipisha wanafunzi wake ada?
 
Mr Tyang,

Wewe ndo umetumia akili unatuambia "Chakula na maradhi??"

Huko Chuo kikuu ambako sie hatujabahatika kufika wanawaambukiza maradhi gani??

😄😄😄😄🤣
 
HESLB wamesema sababu ya kupunguza boom ni kwamba eti muda wa masomo kwa semista hii ni mdogo sana

Je, kama boom limepunguzwa, vipi kuhusu ada na direct cost? Vilipunguzwa kulingana na siku za masomo?

Kama ndo hivyo serikali inakwama wapi kutoa muongozo kwa vyuo kwamba wanafunzi wapunguziwe ada Mfano wanasema semista hii ni fupi sana hata miezi mitatu haifiki sasa kwanini na ada isipunguzwe?Kwanini watu wapunguziwe maboom lakini pia wasipunguziwe kiasi cha ada kwa muhula huu?

Mimi naona kama wanafunzi wamepunguziwa boom kisa ufupi wa semista basi na ada ipunguzwe maana unakuta chuo ada milioni 3 sasa nusu muula ni milioni 1.5 sasa kwanini mtu alipe 1.5 kama nusu muhula wakati muhula ni mdogo wa miezi 2 na siku chache tu?

Kama wamepunguziwa boom la muhula huu basi na ada ipunguzwe tu maana nina uhakika kuna wanafunzi wengi tu ambao wanatumia boom lao kulipia ada maana sio wote wana asilimia mia moja
 
Wewe ndo umetumia akili unatuambia "Chakula na maradhi??"

Huko Chuo kikuu ambako sie hatujabahatika kufika wanawaambukiza maradhi gani??

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787]
Ila nadhani point ya msingi umeielewa!??
 
Wanavyuo mtuache kidogo tunajadiri kura za maoni za sisinyemu kwanza, haya mambo yenu mtafute siku nyingine
 
Najua ulikua na mipango minginna hiyo pesa..pole sana...Sasa mzee boom si unalipwa kulingana na siku unazokaaa..coz Ile meal and accommodation allowance. Vyote hivyo ulipwa per days..
 
Kama wanapunguza hiyo hela ni vyema wasijekusadai baadae yaani kule kwenye account za wanafunzi wapunguze kabisa zile hela walizoandika

Lakini unakuta baadae unadaiwa kitu ambacho hukutumia hapo ndio inakuwa Ujinga wa hii bodi
 
Boom mwanafunzi analipwa kwa idadi ya siku alizosoma darasani.. Utumie siku 10 kwa non ulipwe 20?? Ada hutumika pia kuendeshea shughuli zingine za chuo kulipa wafanyakazi, bill za umeme, maji, n.k
 
Wewe ndo umetumia akili unatuambia "Chakula na maradhi??"

Huko Chuo kikuu ambako sie hatujabahatika kufika wanawaambukiza maradhi gani??

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787]
Dogo acha ujinga jikite kwenye Mada acha kujifichia kwenye typing error.
 
Duuuh! hapo mipango ya wanachuo wengine imeshavurugika, hasa wale wa kukopa kwa riba, sijui itakuaje.
Wasikate tamaa maadam watu wamelalamika na kuonyesha hisia zao,natumaini Viongozi wameshapata Malalamiko haya na hivyo wataweza kuachana na mpango huu wa kupunguza kiasi hicho cha pesa,badala yake watawapa kiwango kile kile stahiki.
 
Back
Top Bottom