babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,643
- 3,301
msimamo wa wanachuo muhimu sana kwa kugomea kusaini hizi pesa..,mkisaini tu basi mjue mmeumia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe utakuwa hujui maisha ya chuo kabisa, hivi hujui vijana wqmerudi vyuoni amabao wanaishi nje hostel wamelazimika kulipa Kodi kwa wenye nyumba hata siku za covid19!!, Hizi pesa wqnazitoa wapi? Miez 3×40000 ni shingapi??. Tukubali serikali haina uthamini na raia wake. Kagera watu waliathirika kwa tetemeko serikali ilichojibu ni upuuzi kabisa, ifike mahali serikali itambue maamzi inayofanya inafanyia watoto wa wanyonge sio watoto wao wenye kupata kula, kusoma e.t.c kupitia Kodi zetu.Mkuu Kuna sehemu gani kwenye mkataba pameandikwa kuwa pesa ya chakula italipwa kwa semester? Nayo imekuwa Ada?
Mkataba upo wazi kabisa kuwa pesa ya chakula na maladhi italipwa kwa Siku ambazo mwanafunzi atakapokuwa masomoni, Sasa Kama mtu anaondoka chuoni August mwishoni unataka apewe pesa ya kujikimu Hadi ya mwezi wa kumi wakati hayupo chuoni kimasomo?
Kuhusu kupewa taarifa ilishatolewa zamani Sana kwenye mkataba Kama mtu alisoma mkataba vizuri na kuuelewa kabla ya kuomba mkopo hawezi shangazwa na mabadiliko haya.
Halfu hajaandikwa kwenye mkataba kuwa pesa ya chakula itatumika kulipa ada Bali hayo Ni matumizi ya mtu binafsi Ila matumizi elekezi ya hiyo pesa Ni chakula na maladhi tu. Ukiitumia kulipia ada, usafiri, kununulia viwalo, kuhonga na n.k hiyo Ni juu yako na Wala siyo wao.
fafanua na ulipaji wa hilo deni... na ile jumla ya pesa wanazoonyesha kwenye account ya muhusika...Mkuu Kuna sehemu gani kwenye mkataba pameandikwa kuwa pesa ya chakula italipwa kwa semester? Nayo imekuwa Ada?
Mkataba upo wazi kabisa kuwa pesa ya chakula na maladhi italipwa kwa Siku ambazo mwanafunzi atakapokuwa masomoni, Sasa Kama mtu anaondoka chuoni August mwishoni unataka apewe pesa ya kujikimu Hadi ya mwezi wa kumi wakati hayupo chuoni kimasomo?
Kuhusu kupewa taarifa ilishatolewa zamani Sana kwenye mkataba Kama mtu alisoma mkataba vizuri na kuuelewa kabla ya kuomba mkopo hawezi shangazwa na mabadiliko haya.
Halfu hajaandikwa kwenye mkataba kuwa pesa ya chakula itatumika kulipa ada Bali hayo Ni matumizi ya mtu binafsi Ila matumizi elekezi ya hiyo pesa Ni chakula na maladhi tu. Ukiitumia kulipia ada, usafiri, kununulia viwalo, kuhonga na n.k hiyo Ni juu yako na Wala siyo wao.
Wanavyuo mtuache kidogo tunajadiri kura za maoni za sisinyemu kwanza, haya mambo yenu mtafute siku nyingine
Najua ulikua na mipango minginna hiyo pesa..pole sana...Sasa mzee boom si unalipwa kulingana na siku unazokaaa..coz Ile meal and accommodation allowance. Vyote hivyo ulipwa per days..
Kwenye hii issue muhanga ni mwanachuo tu.. Kwa jina lingine napenda kuita ni "Disadvantaged people"
So there is no way.. Tupambane tu
Boom mwanafunzi analipwa kwa idadi ya siku alizosoma darasani.. Utumie siku 10 kwa non ulipwe 20?? Ada hutumika pia kuendeshea shughuli zingine za chuo kulipa wafanyakazi, bill za umeme, maji, n.k
Daaah kwa kwel Vijana sijui watawafikiriajechagueni CCM tena
Wanachuo kazi wanayoKumekuchaaaa....
Stiglers, SGR, Elections....
Everyday is Saturday........................... 😎
Mnaosema siku zimebakia chache hivyo ni haki Bodi kupunguza, basi hata na ada ya chuo ingepunguzwa kwasababu siku zimepungua.