Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuuh! hapo mipango ya wanachuo wengine imeshavurugika, hasa wale wa kukopa kwa riba, sijui itakuaje.
TumevurugwaaaKama mwanachuo unaandika hivi Kama mwanafunzi wa darasa la Kwanza Ni Bora ukose kabisa mkopo
Huo ndio uchumi wa katiKama ilivyo kwenye sheria za bofi ya mikopo, kia mnufaika atapewa kiasi kinachoendana na siku alizokaa chuoni.
Hapo awali kabla ya Corona, boom moja ilikuwa 505000 hadi 52000 lakini kwa mfumo huu itakuwa pungufu.
Je, kama boom limepunguzwa, vipi kuhusu ada na direct cost? Vilipunguzwa kulingana na siku za masomo?
View attachment 1512144
bado ni maneno ya kusadikikaUtajua hujuiView attachment 1512215
Ila nadhani point ya msingi umeielewa!??Wewe ndo umetumia akili unatuambia "Chakula na maradhi??"
Huko Chuo kikuu ambako sie hatujabahatika kufika wanawaambukiza maradhi gani??
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787]
Dogo acha ujinga jikite kwenye Mada acha kujifichia kwenye typing error.Wewe ndo umetumia akili unatuambia "Chakula na maradhi??"
Huko Chuo kikuu ambako sie hatujabahatika kufika wanawaambukiza maradhi gani??
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787]
Wasikate tamaa maadam watu wamelalamika na kuonyesha hisia zao,natumaini Viongozi wameshapata Malalamiko haya na hivyo wataweza kuachana na mpango huu wa kupunguza kiasi hicho cha pesa,badala yake watawapa kiwango kile kile stahiki.Duuuh! hapo mipango ya wanachuo wengine imeshavurugika, hasa wale wa kukopa kwa riba, sijui itakuaje.
bado ni maneno ya kusadikika