HESLB: tuliokosa mikopo kesho(ijumaa) tukutane ofisi zao mpaka kieleweke..

Sio siri wamejaribu kutupunguza nguvu hasa baada ya kuwapa tena wengine,
 

Jamani mtukumbuke na sisi tusio dar mtuandikie majina. Namba yangu ni s0225.0022.2003.
 
Naskia wametoa majna mengne lkn n diploma tu hakuna form six hata mmoja aliyepata?
 
wametoa diploma na sio wote na form 6 ha2japewa yan kesho iyo
 
kazeni kamba wadau! wengine tupo mikoani ila binafsi naliunga mkono jambo hili. Kesho nitakuwa safarini kuja huko tusaidiane kupigania haki zetu za msingi. Pamoja sana mpaka kieleweke!
 
faraji....

Tukifika kule,nini kitafuata..??

Kama ni kirusha mawe,nijiandae kabisa kubeba gunia zima la kokoto....
 
Last edited by a moderator:
faraji....

Tukifika kule,nini kitafuata..??

Kama ni kirusha mawe,nijiandae kabisa kubeba gunia zima la kokoto....

kwanza 2naanza na mazungumzo kama wasipotuelewa inabidi 2tumie zana xo kama vp we beba beg ata la tindi kali uwe tayari kwa kugombania haki yako wakizingua wakajibu kijinga jinga 2nawazingua na sisi xo jipange bro me ntakua na beg langu lina zana nying sana
 
Last edited by a moderator:


Hapo nimekusoma....
Je wakitupa ahadi za kitapeli si ndo tushaliwa au...??
 
NAOPPNA PPILE KAULI YA WAZIRI MKUU ITAFANYA KAZISIKU SIO NYINGI!!!!!!!!!!!!!!:target:
 
Wadau sisi wa mikoani msitusahau kwa kweli we are together. Together we can.
 
And we should use scientific method in achiving this.unit is power
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…