baghozed
JF-Expert Member
- May 26, 2011
- 532
- 97
wa diploma
Ndio kuna wenzangu wamepata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wa diploma
kama umeandikiwa not secured jamani kesho saa 4 twendeni kwenye ofice za heslb ili kuonyesha kua hawajatutendea haki zetu mkopo kwa mwanafunzi wa chuo ni Lazima...!!! Kwa nini course ni priority afu hatujapewa mkopo eti kisa mtu kasoma private school ndo kunyimwa mkopo hawajui kua wazazi wanakopa kupitia mashirika ya kukopesha ndo watoto wao waweze kusoma jamani kesho 2kutane pale heslb kwa ajili ya maandamano
kazeni kamba wadau! wengine tupo mikoani ila binafsi naliunga mkono jambo hili. Kesho nitakuwa safarini kuja huko tusaidiane kupigania haki zetu za msingi. Pamoja sana mpaka kieleweke!
faraji....
Tukifika kule,nini kitafuata..??
Kama ni kirusha mawe,nijiandae kabisa kubeba gunia zima la kokoto....
wa diploma
kwanza 2naanza na mazungumzo kama wasipotuelewa inabidi 2tumie zana xo kama vp we beba beg ata la tindi kali uwe tayari kwa kugombania haki yako wakizingua wakajibu kijinga jinga 2nawazingua na sisi xo jipange bro me ntakua na beg langu lina zana nying sana
Hapo nimekusoma....
Je wakitupa ahadi za kitapeli si ndo tushaliwa au...??
tukutane posta ya zaman il twende wizaran kule heslb hakuna jpya