HESLB: tuliokosa mikopo kesho(ijumaa) tukutane ofisi zao mpaka kieleweke..

naunga mkono wadau haiwezekan watu wakose haki zao za msingi,kesho lazima kieleweke zaid tuendelee kupeana updstes wakuu
 
Ni matumaini yangu sote tumeamka salama na tu wazima kabisa,na amani iwe juu yenu nyote.
Tafadhali sana alisema ndugu matiku kwenye bandiko hili ya kuwa watu wakutane pale posta za zamani kupanga michakato ya kuelekea wizarana,
Amkeni kumekucha ndugu zangu.
 
MUNGU awatangulie. Nina hakika mtarudi mnatabasamu. Zingatien nidhamu. Hoja.mtapata tu. Msikubali kugawanywa.
 
Ni matumaini yangu sote tumeamka salama na tu wazima kabisa,na amani iwe juu yenu nyote.
Tafadhali sana alisema ndugu matiku kwenye bandiko hili ya kuwa watu wakutane pale posta za zamani kupanga michakato ya kuelekea wizarana,
Amkeni kumekucha ndugu zangu.

Mkubwa sasa sie wa mbali mtatuwakilishaje?au tuandike index no. Zetu?
 
baghozed na mimi niko mbali lakini hakijaharibika kitu ni katika kuwahamasisha walioko dar na mikoa jirani,kufika pale na tayari nimeshawasiliana na wadau wengi tu wa dar,hivyo watakuwepo pale.
cc to matiku,mksyeli,yasin na wengine.
Tuko pamoja sana.
 
Nahisi kama kweli tuliomaliza o-lev nyuma nyuma ndio wengi tuliozinguliwa
 
Jamani mie sielewi mmesema saa 4 tunakutania heslb au wizarani? Manake wengne hatujawah kwenda kokote
 
Jamani c maandamanoo! Tuwe na amanii na umoja tusifanye fujooo, huku tukimuomba Mungu aniongozeee
 
jamani eeeh iv 2naanzia wapi lakn jana 2lixema 2naanzia heslb pale ofice zao au me ndo naenda pale mwenge kama vp 2jumuike wandugu
 
Nmeipenda hii Jamani, tupo mbali ila tupo pamoja. KILA LA KHERI kumbukeni NIDHAMU itasaidia pia. Pamoja sana wa ndugu
 
jamani eeeh iv 2naanzia wapi lakn jana 2lixema 2naanzia heslb pale ofice zao au me ndo naenda pale mwenge kama vp 2jumuike wandugu

Sasa ndugu kama kuna utaratibu wa kuandika namba Tafadhali usitusahau tulio mbali S0112.0021.2004
 
Back
Top Bottom