HESLB wameanza kupokea appeals

Kwenye website kuna direction jinsi ya kujaza baada ya kulipia 5000
kwa m-pesa form halafu una-print.
 
Unalipia 5000 kuappeal then unakosa tena unakuwa umepoteza 35000 plus mausumbuf ya kugongewa mihur na nauli za hapa na pale 35000 Jumla 70000
 
jaman naomba mnieleweshe vzur ukisha maliza kujaza iyo form unaipeleka chuon uliko chaguliwa zen wenyewe ndo wataituma au ? na mwisho lin wa kujaza fom za kuappel?
 
mwenye uelewa na hii ku appeal pliz chek.mi.hapa unielekeze 0656879668
 
Ku appeal kawaida ni kwa kila mtu ambaye hajaridhika na kiwango cha pesa anacholipiwa akilinganisha na uhitaji wake...kwa hata mtu aliye pata 90% ana haki ya ku appeal kama hajaridhika..
 
Plzzzz jinsi ya kulipa kwa mpesa jaman 2nalipaje
 
Ku appeal kawaida ni kwa kila mtu ambaye hajaridhika na kiwango cha pesa anacholipiwa akilinganisha na uhitaji wake...kwa hata mtu aliye pata 90% ana haki ya ku appeal kama hajaridhika..

Hv haijawahi tokea m2 kapata 90% alafu baada ya kuappeal wakamfanyia uhuni ikapunguzwa?
 
Vp na kwa ambao h2japata kabisa inakuwaje 2naruhusiwa Ku appeal
 
Haiwezekan kupunguziwa kiasi ulichokuwa unapata mwanzon kabla ya ku appeal...Mtu yeyote ambaye aliomba mkopo ana haki ya ku appeal labda tu kama huku omba huruhusiwi ku appeal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…