HESLB wameanza kupokea appeals

HESLB wameanza kupokea appeals

Ivi kama budget exhousted ukikata rufaa hela zitapatikana? Au utaratibu tu unatakiwa ufuatwe? Kuna wengine wanavigezo wanaambiwa hela hamna je nao wakate rufaa? Kama kunauonevu ni kwa hao waliowanyima wakati vigezo wanavyo na bodi inajua kuwa imetuonea sasa tukate rufaa wakati mambo yapo wazi?
Rufaa yewenye sh.5000 na unatakiwa uwe chuoni.
 
mi nilikua naomba kuuliza je kwa mfano mtu alikua admited katka taasis fulan na taasis ilimuhtaj alipie asilimia kadhaa ili afanye usajili na mtu huyo akashindwa kutokana na kukosa kabisa hata 0% ya kulipia na taasis iyo ishaanza masomo na kufunga muda wa usajili je, mtu huyu aki appeal taasis itamsaidiaje?
 
Unalipia 5000 kuappeal then unakosa tena unakuwa umepoteza 35000 plus mausumbuf ya kugongewa mihur na nauli za hapa na pale 35000 Jumla 70000

chukua hyoo 70000 mara idadi ya wnaoappeal tufanye 20000,sh ngap hizo,sijamaliza kupaua nyumba kibada uko
 
haw wahuni tuu.!! budget exhausted. ..then wanataka wote walopata na walokosa wa appeal....??? kama sio uchwara mtupu watatugawia nin. wakati wanajisingizia wako bankrupt. ??
 
mwenye tatizo na jinsi ya kuappeal anichek kwenye hii no mana mi nshaappeal nasbr kuiwasilisha kwa loan officer.....my no 0712851335

mkuu huyu loan offcr anagawa pesa.za.mfukoni mwake au? coz kamat yake inadai iko exhausted. !! au ndo wanazidi kupiga ata iyo budget yako ya 5000 ulonayo.?
 
Nahisi walio sajiliwa kwa sababu wanasema form ipitishwe kwa loan officer wa institute husika
 
Habari wakuu, nilikua naomba kuuliza hili zoezi la ku APPEAL linatuhusu mpaka sisi tuliokosa mkopo kabisa ama ni kwa wale waliopata na hawakuridhika na percentage walizopata?nashukuru MUNGU chuo nilipata ila mkopo ndo nimenyimwa na vithibitisho hivyo hapo.


1..jpg d.jpg a.jpg
 
jaman nimenunua kwa mpesa nakataa kwenye kuijaza firm iaasema invalid codes..naomba msaada
 
wanao appel ni wote,kama haujaridhika na kama umenyimwa kabisa mkopo.
mi nimenyimwa kabisa na tayar nime appel na nimeshapeleka fom kwa loan offcer
 
wadau naomba kuuliza kwani ili ku apeal ni lazima uwe umesha fanya registration maana mimi bado sijaripoti chuoni
 
wadau naomba kuuliza kwani ili ku apeal ni lazima
uwe umesha fanya registration maana mimi bado
sijaripoti chuoni
 
mkuu huyu loan offcr anagawa pesa.za.mfukoni mwake au? coz kamat yake inadai iko exhausted. !! au ndo wanazidi kupiga ata iyo budget yako ya 5000 ulonayo.?

pesa huwa inapatikana hii ni kutokana na kuwa sio wote waliopata mkopo huenda chuo wengine wanaahirisha masomo so mkopo wake atapewa mtu mwingine
 
pesa huwa inapatikana hii ni kutokana na kuwa sio wote waliopata mkopo huenda chuo wengine wanaahirisha masomo so mkopo wake atapewa mtu mwingine

sawa mkuu ila prbblty ya walopata mkopo na hawajaenda chuoni n ndogo sana..
 
Back
Top Bottom