Osama bin laden
Member
- Nov 3, 2014
- 15
- 1
kulipia simple tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pesa huwa inapatikana hii ni kutokana na kuwa sio wote waliopata mkopo huenda chuo wengine wanaahirisha masomo so mkopo wake atapewa mtu mwingine
Hiv bado wana appeal au waliisha funga?
Bado hawajafunga ila kama una appeal,inabidi ufanye haraka coz soon zoezi litasitishwa.
Wakubwa, naskia kwmba kama umeapili wakurudshia Ada yko ya mwnzni ulio ongzea, je! Nikweli?