HESLB wameanza kupokea appeals

HESLB wameanza kupokea appeals

pesa huwa inapatikana hii ni kutokana na kuwa sio wote waliopata mkopo huenda chuo wengine wanaahirisha masomo so mkopo wake atapewa mtu mwingine

Hv huu mkopo ulivyo wa shida hivi kuna mtu anapata mkopo then asiende chuo?mimi naona ni changa la macho tu wanaendeleza kuwakamua watu hicho walichobaki nacho
 
Poa bro,vp first time applicant inalipiwa bei ileile (5000)?
 
Wakubwa, naskia kwmba kama umeapili wakurudshia Ada yko ya mwnzni ulio ongzea, je! Nikweli?
 
Back
Top Bottom