Unalipia 5000 kuappeal then unakosa tena unakuwa umepoteza 35000 plus mausumbuf ya kugongewa mihur na nauli za hapa na pale 35000 Jumla 70000
mwenye tatizo na jinsi ya kuappeal anichek kwenye hii no mana mi nshaappeal nasbr kuiwasilisha kwa loan officer.....my no 0712851335
Mwisho wa kuappeal n lin jaman naomben msaada kuhusu hili
HESLB wameanza kupokea form za ku-appeal kupia loan officer wa taasisi uliyopo.
wadau naomba kuuliza kwani ili ku apeal ni lazima
uwe umesha fanya registration maana mimi bado
sijaripoti chuoni
mkuu huyu loan offcr anagawa pesa.za.mfukoni mwake au? coz kamat yake inadai iko exhausted. !! au ndo wanazidi kupiga ata iyo budget yako ya 5000 ulonayo.?
pesa huwa inapatikana hii ni kutokana na kuwa sio wote waliopata mkopo huenda chuo wengine wanaahirisha masomo so mkopo wake atapewa mtu mwingine