Ulistahili mkopo lakini bajeti imefikia kikomo.
Subiri ku-appeal
Pole sana but jipe moyo uappeal nathani utapata kwani ni haki yako kupata mkopo.!
bodi wanabahatisha mambo mi wameniandikia NOT ELIGIBLE FOR LOAN, COMPLETED FORM SIX O DIPLOMA THAN 3 YRS BACK, wakati nimemaliza 2012. huonev huu
bodi wanabahatisha mambo mi wameniandikia NOT ELIGIBLE FOR LOAN, COMPLETED FORM SIX O DIPLOMA THAN 3 YRS BACK, wakati nimemaliza 2012. huonev huu
Una appeal kivip wakati wamesema hela imeisha mkuu!
Hela ya ku-appeal inapatikana. Unafikiri wote waliopata mkopo wataenda vyuo? Sasa hizo pesa zao hupewa waliokosa but wawe na sababu zinazokubalika na bodi. Ndio maana wakatoa siku 90 ili wale watakaoshindwa kusaini mkopo wapewe waliokosa!!!:
You were not allocated higher education loan for 2013/14 academic year for this reason:ELIGIBLE FOR LOAN, BUT BUDGET EXHAUSTED
Kumbe kuna majibu kama haya,, duuuuh... Mara wengine not sequred
Muwe mnatazama kila siku kwenye account zenu, msije kuta mkopo umehamishwa kwa mtu mwingine ukabaki unalia.
hata mi wameandika hivo hivo.cjui kama budjet imekwisha tufanyaje.watuope bac meals &accomodationYou were not allocated higher education loan for 2013/14 academic year for this reason:ELIGIBLE FOR LOAN, BUT BUDGET EXHAUSTED
hata mi wameandika hivo hivo.cjui kama budjet imekwisha tufanyaje.watuope bac meals &accomodation