HESLB wanamaana gani wakisema!

HESLB wanamaana gani wakisema!

millz

Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
85
Reaction score
14
You were not allocated higher education loan for 2013/14 academic year for this reason:ELIGIBLE FOR LOAN, BUT BUDGET EXHAUSTED
 
Pole sana but jipe moyo uappeal nathani utapata kwani ni haki yako kupata mkopo.!
 
bodi wanabahatisha mambo mi wameniandikia NOT ELIGIBLE FOR LOAN, COMPLETED FORM SIX O DIPLOMA THAN 3 YRS BACK, wakati nimemaliza 2012. huonev huu
 
Hahaha..hawa jamaa ni wahuni wa hali ya juu.
 
bodi wanabahatisha mambo mi wameniandikia NOT ELIGIBLE FOR LOAN, COMPLETED FORM SIX O DIPLOMA THAN 3 YRS BACK, wakati nimemaliza 2012. huonev huu

Pole sana ndugu maana hawa watu hawaeleweki!
 
Una appeal kivip wakati wamesema hela imeisha mkuu!

Hela ya ku-appeal inapatikana. Unafikiri wote waliopata mkopo wataenda vyuo? Sasa hizo pesa zao hupewa waliokosa but wawe na sababu zinazokubalika na bodi. Ndio maana wakatoa siku 90 ili wale watakaoshindwa kusaini mkopo wapewe waliokosa!!!:
 
Nimekuelewa mkuu thanx indeed!
 
You were not allocated higher education loan for 2013/14 academic year for this reason:ELIGIBLE FOR LOAN, BUT BUDGET EXHAUSTED

Kumbe kuna majibu kama haya,, duuuuh... Mara wengine not sequred
 
Muwe mnatazama kila siku kwenye account zenu, msije kuta mkopo umehamishwa kwa mtu mwingine ukabaki unalia.
 
mkuu umeongea kitu cha maana sana maana hata tcu nao ilikuwa hvyohvyo kufatilia profl mara kwa mara watu wengne walikosa vyuo sababu ya kutotembelea mara kwa mara
 
You were not allocated higher education loan for 2013/14 academic year for this reason:ELIGIBLE FOR LOAN, BUT BUDGET EXHAUSTED
hata mi wameandika hivo hivo.cjui kama budjet imekwisha tufanyaje.watuope bac meals &accomodation
 
So tutafanyaje coz ku appeal kunaweza kusaidia kwl maana wamesha sema hela hakuna!
 
Back
Top Bottom