Finder boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 608
- 150
ngoja nioneMkuu acha uvivu taarifa zinapatikana olas kwenye webst yao na pesa unalipia kwa mpesa kwa jina la bodi ambalo linapatikana humohumo kwnye mpesa
Hyo web inaitwaje vle
www.heslb.go.tz
bodi ya mikopo wanasema taarifa zote juu ya uombaji mikopo zinapatikana Welcome to HESLB lakini ukifungua unakuta habari za mwaka jana! Hakuna jipya!? Je tunaombaje mikopo? Na iyo 30000/= inayotakiwa kulipwa kwa mpesa tunalipia namba gani?