HESLB wanazingua

HESLB wanazingua

Finder boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
608
Reaction score
150
Bodi ya mikopo wanasema taarifa zote juu ya uombaji mikopo zinapatikana www.heslb.go.tz lakini ukifungua unakuta habari za mwaka jana! Hakuna jipya!?

Je tunaombaje mikopo? Na iyo 30000/= inayotakiwa kulipwa kwa mpesa tunalipia namba gani?
 
Mkuu acha uvivu taarifa zinapatikana olas kwenye webst yao na pesa unalipia kwa mpesa kwa jina la bodi ambalo linapatikana humohumo kwnye mpesa
 
nimeona lakini bado kuna matatizo fulani
 
bodi ya mikopo wanasema taarifa zote juu ya uombaji mikopo zinapatikana Welcome to HESLB lakini ukifungua unakuta habari za mwaka jana! Hakuna jipya!? Je tunaombaje mikopo? Na iyo 30000/= inayotakiwa kulipwa kwa mpesa tunalipia namba gani?


red - jaribu kufuta history ya browser yako uombe tena web ya olas.heslb.go.tz.

blue - screen yako ya simu andika *150#; OK; chagua 4; chagua 3; chagua 7; chagua 2 ambayo ni HESLB; ingiza kumbukumbu ambayo no index number yako ya "O" level katika mfumo huu - SXXXX.XXXX.XXXX. Ingiza kiasi ch pesa ambayo ni 30,000. ingiza namba yako ya siri ya MPESA then kubali kwa kubofya 1- and you are done!! jibu toka MPESA lita confirm hela imetumwa HESLB na namba yako ya "O"leve itaonekana. Juu kabisa kuna Code ambayo ndo unaitumia wakati wa kuomba registration
 
Back
Top Bottom