Mkuu hii ya account ya ndg niliwahi banwa nilimtumia jina la mdogo nikawa natumia kama kawaida kwenye ATM siku Moja nilkuwa natoa kiasi kikubwa si nikaenda dirishani. Muhudumu kuniangalia akasema subiri kidogo mara police huyu hapa nikapelekwa kwenye chumba flnTutatumia account za ndugu zetu kufanyia biashara, ile hela inauma, nikubwa na ubaya hivyo vyeti vya degree sijawahi kuvitumia, sijaajiriwa private wala Serikalini nafanya biashara nawalipa kodi wanataka nini tena awa heslb? Au wachukue tu hiyo degree ππ
hivi ulikuwa unawaza nini kwenda kutolea pesa ndani wakati akaunti si ya kwako mkuu hapo wewe ndo ulijichanganya.Mkuu hii ya account ya ndg niliwahi banwa nilimtumia jina la mdogo nikawa natumia kama kawaida kwenye ATM siku Moja nilkuwa natoa kiasi kikubwa si nikaenda dirishani. Muhudumu kuniangalia akasema subiri kidogo mara police huyu hapa nikapelekwa kwenye chumba fln
Nilitoka maelezo lkn wapi wanasema salama Yako ni huyo mdogo wako aje athibitishe haya na hapo yupo chuo Dar Nami nipo kahama.
Haloo usome mkuu
Hapa hakuna namna itabidi kulipa tu. Sema wamefanya mambo yao yamekuwa complicated. Nimetoka kufungua account kwenye system yao kwanza hawakuonyeshi deni lako kamili.Bodi ya mikopo(HESLB) imeunganisha mifumo ya kimkakati Kwa ajili ya kuwafikia wanufaika wenye kipato lakini hawajaanza kurudisha mikopo hiyo.
Heslb imeingia makubaliano ya ushirikiano na wakala wa usajili,ufilisi na udhamini(RITA),NIDA na taasisi za kibenki lenye lengo la kuwatambua wanufaika wa mikopo hiyo, wenye kipato na ambao awajarejesha mikopo hiyo ilhali Wana kipato.
---
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu (HELSB) imeingia mkataba na taasisi za serikali za RITA na NIDA ili kuwapata wahitimu walionufaika na mikopo ya elimu ya juu na hawajaanza kurejesha.
HELSB imesema mpaka sasa kuna fedha zaidi ya Shilingi Bilioni 600 ambazo hazijarejeshwa kutoka kwa wanufaika.
Hapa nikupitia Bank accountslabda waingie makubaliano na mitandao ya simu, sasa RITA na NIDA watawala ya wapi hao watu
Kama hauna bank account?Hapa nikupitia Bank accounts
Kama vip waje wachukue ma vyeti yao ππππ€£π€£mjinga sana wwπ€£π€£π€£Tutatumia account za ndugu zetu kufanyia biashara, ile hela inauma, nikubwa na ubaya hivyo vyeti vya degree sijawahi kuvitumia, sijaajiriwa private wala Serikalini nafanya biashara nawalipa kodi wanataka nini tena awa heslb? Au wachukue tu hiyo degree ππ
C uliambatanisha birth certificate π π πHii itawezekana labda kipindi NIDA zipo, sasa kipindi cha kabla ya NIDA utambulisho ulikuwa ni namba ya form 4, na hapakuwa na fingerprint wakati wa kuomba mkopo , hata bank tulizopokelea mikopo hatukuweka fingerprint, sasa NIDA haina msaada kwao kwa sisi wa zamani π
Hata hivyo ule mkataba ninao, na hauwapi kabisa mamlaka taasisi yeyote ya kibank kukwapua au kuzuia pesa za mkopaji , labda wampeleke mahakamani, halafu mahakama ndio itoe amri, sio Heslb, na hiyo amri unaweza kuikatia rufaa..,. Hawa wanatutishia nyau, desperate imbiciles π
Watafika kote hukolabda waingie makubaliano na mitandao ya simu, sasa RITA na NIDA watawala ya wapi hao watu
Birth certificate ina finger print? Huwa Unapeleka Birth certificate kufungua akaunti bank?C uliambatanisha birth certificate π π π
ππππkwahiyo nawapa mbinuWatafika kote huko
Unazidi kuwapa mawazo ya kupata wadaiwa wengine.......π π π
Birth certificate c inakuaga na namba ambayo iko connected na NIDA mkuu????Birth certificate ina finger print? Huwa Unapeleka Birth certificate kufungua akaunti bank?
Haswaaaππππkwahiyo nawapa mbinu
Kwani walipokuwa wanatoa, walifikiria zitarudishwaje? ilihali wanajua ajira hamna?Haswaaa
Waljua mtajiongeza kupata pesa......kisha wataipata pesa yao tuKwani walipokuwa wanatoa, walifikiria zitarudishwaje? ilihali wanajua ajira hamna?
Mimi birth certicate yangu ni ya zaidi ya miaka 30 iliyopita, enzi hizo haijuiikani hata fingerprint ni kitu gani.., wala NIDA hakuna, na NIDA hawakuomba birth cerificate wakati wa usajili..Birth certificate c inakuaga na namba ambayo iko connected na NIDA mkuu????