HESLB yaja na mpango mpya kwa wasiyorejesha mikopo, waungana na RITA, NIDA na Taasisi za Kibenki kuwatambua kirahisi wadaiwa

HESLB yaja na mpango mpya kwa wasiyorejesha mikopo, waungana na RITA, NIDA na Taasisi za Kibenki kuwatambua kirahisi wadaiwa

Tutatumia account za ndugu zetu kufanyia biashara, ile hela inauma, nikubwa na ubaya hivyo vyeti vya degree sijawahi kuvitumia, sijaajiriwa private wala Serikalini nafanya biashara nawalipa kodi wanataka nini tena awa heslb? Au wachukue tu hiyo degree 😂😂
Mkuu hii ya account ya ndg niliwahi banwa nilimtumia jina la mdogo nikawa natumia kama kawaida kwenye ATM siku Moja nilkuwa natoa kiasi kikubwa si nikaenda dirishani. Muhudumu kuniangalia akasema subiri kidogo mara police huyu hapa nikapelekwa kwenye chumba fln

Nilitoka maelezo lkn wapi wanasema salama Yako ni huyo mdogo wako aje athibitishe haya na hapo yupo chuo Dar Nami nipo kahama.

Haloo usome mkuu
 
hivi ulikuwa unawaza nini kwenda kutolea pesa ndani wakati akaunti si ya kwako mkuu hapo wewe ndo ulijichanganya.
 
Bodi ya mikopo(HESLB) imeunganisha mifumo ya kimkakati Kwa ajili ya kuwafikia wanufaika wenye kipato lakini hawajaanza kurudisha mikopo hiyo.

Heslb imeingia makubaliano ya ushirikiano na wakala wa usajili,ufilisi na udhamini(RITA),NIDA na taasisi za kibenki lenye lengo la kuwatambua wanufaika wa mikopo hiyo, wenye kipato na ambao awajarejesha mikopo hiyo ilhali Wana kipato.
---
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu (HELSB) imeingia mkataba na taasisi za serikali za RITA na NIDA ili kuwapata wahitimu walionufaika na mikopo ya elimu ya juu na hawajaanza kurejesha.

HELSB imesema mpaka sasa kuna fedha zaidi ya Shilingi Bilioni 600 ambazo hazijarejeshwa kutoka kwa wanufaika.
Hapa hakuna namna itabidi kulipa tu. Sema wamefanya mambo yao yamekuwa complicated. Nimetoka kufungua account kwenye system yao kwanza hawakuonyeshi deni lako kamili.
Pili naona mwaka 2010/2011 inaelekea eti malipo yalifanyika saut wakati mimi sijawahi kusoma saut na wala sikuwahi kuchaguliwa saut.
Kisha sijui kwa nini wasitengeneza vitu kuwa rahisi, mtu akaweza kupewa control number kama hajaajiriwa kupitia huo mfumo baada ya kufungua account akawa analipa tu.
 
Tutatumia account za ndugu zetu kufanyia biashara, ile hela inauma, nikubwa na ubaya hivyo vyeti vya degree sijawahi kuvitumia, sijaajiriwa private wala Serikalini nafanya biashara nawalipa kodi wanataka nini tena awa heslb? Au wachukue tu hiyo degree 😂😂
Kama vip waje wachukue ma vyeti yao 😂😂😂🤣🤣mjinga sana ww🤣🤣🤣
 
Hii itawezekana labda kipindi NIDA zipo, sasa kipindi cha kabla ya NIDA utambulisho ulikuwa ni namba ya form 4, na hapakuwa na fingerprint wakati wa kuomba mkopo , hata bank tulizopokelea mikopo hatukuweka fingerprint, sasa NIDA haina msaada kwao kwa sisi wa zamani 😂

Hata hivyo ule mkataba ninao, na hauwapi kabisa mamlaka taasisi yeyote ya kibank kukwapua au kuzuia pesa za mkopaji , labda wampeleke mahakamani, halafu mahakama ndio itoe amri, sio Heslb, na hiyo amri unaweza kuikatia rufaa..,. Hawa wanatutishia nyau, desperate imbiciles 😂
C uliambatanisha birth certificate 😅😅😅
 
labda waingie makubaliano na mitandao ya simu, sasa RITA na NIDA watawala ya wapi hao watu
Watafika kote huko
Unazidi kuwapa mawazo ya kupata wadaiwa wengine.......😅😅😅
 
Birth certificate c inakuaga na namba ambayo iko connected na NIDA mkuu????
Mimi birth certicate yangu ni ya zaidi ya miaka 30 iliyopita, enzi hizo haijuiikani hata fingerprint ni kitu gani.., wala NIDA hakuna, na NIDA hawakuomba birth cerificate wakati wa usajili..
 
Back
Top Bottom