Heslb yawahurumia wanafunz priority.

Heslb yawahurumia wanafunz priority.

Joined
Sep 4, 2013
Posts
55
Reaction score
7
Jamaan Naibu wazir Mulugo amesema wizara na bodi wanatafuta fedha zingne kwa ajili ya walikosa mikopo lakn coz zao ni kipao mbele na fomu zao zilikuwa dosar akitoa tarifa kwa kamati ya huduma za jamii.source habari leo wakuu somen
 
Serikali bwana,kwani ilikuwaje mpaka watu wa non-priority wakapewa na wa priority wakakosa? Na iweje leo wa non-priority wanaonekana hawana haki tena?
 
hamna kitu hapo, eti kati ya wanafunz 23,300 wamewapa 1,117 wa hisabati na sayansi na hao 22,283 wanaenda wapi?
 
na wa non priority mbna wengine wamepewa kama wana2pa wa2pe wote na waseme ni lini ela inaingia watu wajue
 
Jamaan Naibu wazir Mulugo amesema wizara na bodi wanatafuta fedha zingne kwa ajili ya walikosa mikopo lakn coz zao ni kipao mbele na fomu zao zilikuwa dosar akitoa tarifa kwa kamati ya huduma za jamii.source habari leo wakuu somen
Elimu sio kipaumbele kwa serikali yetu. Inasikitisha sana bado hatuwezi kutoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu. Tujipange tutoe mikopo bila ubaguzi wowote.
 
Hivi Mulugo huwa anashirikisha ubongo wake anapokuja na kauli zake?
Wizara na bodi vimeoza.
 
Serikali bwana,kwani ilikuwaje mpaka watu wa non-priority wakapewa na wa priority wakakosa? Na iweje leo wa non-priority wanaonekana hawana haki tena?

Kwa imani yangu, wote ni Watanganyika. Hakuna Mtanganyika Priority na Mtanganyika Non-priority. Taifa hili lina uwezo kabisa wa kutoa Elimu Bure kuanzia Vidudu hadi Elimu ya Vyuo Vikuu bila kubagua Watanganyika katika misingi ya Priority na Non-priority. Shida/tatizo ni ubinafsi. Hebu fuatilia ubishi ukiopo kuhusu Ukaguzi wa Mahesabu ya Ruzuku zinazotolewa na Serikali kwa Mwaka kwa Vyama vya Siasa. Nimeshangaa kusikia Vyama vya Siasa vinapata Ruzuku ya MABILIONI kila Mwaka! Kwa kazi gani? Ni pesa nyingi mpaka zinawashinda hata kuzifanyia Ukaguzi wa Mapato na Matumizi! Vipi, mfano 25% ya hiyo jumla ya Ruzuku ikapelekwa kama Ruzuku kwenye Elimu na Taasisi za Elimu? Si italisaidia Taifa kuliko Wanasiasa wachache ambao wengi wamesoma bure wakati wa Mwalimu? Tatizo ni ubinafsi wa Watunga Sera wetu. Inauma sana!
 
kiukweli hawa jamaa wanakera sana iwaje wengne nonpriority wamepewa wengine wanyimwe
 
hii ishu ya priority na non.priority nani aliileta?? p,umbavu sana
 
Wote waliosababisha ktk bod tukose mkopo na mpaka sasa tupo nyumbani WANAPIGWA SHINE
 
Maumiv niliyonayo ni siri yang kwan nilitakiwa niwe na hangaika na B.com kwa sasa
 
uyu mtu hajaeleweka amesema priority waliokosea kujaza form na hao priority walioandkiwa eligible bt budget exausted je?
 
kwa iyo sifa ya kupata ni kukosea kujaza form! aah.. ngoja sasa mwakan wataona sehem ya personal detail namjaza mdhamini
 
Back
Top Bottom